Miaka 60 ya uhuru, bado tunaning'iniza watoto kwenye miti kuwapima uzito

Hii habari nimesoma twitter, habari inayosema watoto wadogo wanapimwa uzito kwa kuning'inizwa kwenye mti huko wilayni Tarime mkoa wa Mara(kuna picha ikionyesha tukio hilo).

Hakika nimeshangazwa sana na hii habari, ila inaelekea hali hii ni ya kawaida tu kwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu huku tukiwa na takribani miaka 60 ya kujitawala.

Jamani vitu vingine tuone aibu kwani haiwezekani viongozi watembee na mashangingi huku watoto wetu wananing'nizwa kwenye miti kama viroba miaka 60 baada ya uhuru na watu tunaridhika tu.

Alieturoga watanzania hakika alikuwa fundi.
Unashangaa kupumana uzito kwa kuning'inizwa kwenye miti wakati mabinti bado wanatahiriwa. Mboa simple tu
 
Hii habari nimesoma twitter, habari inayosema watoto wadogo wanapimwa uzito kwa kuning'inizwa kwenye mti huko wilayni Tarime mkoa wa Mara(kuna picha ikionyesha tukio hilo).

Hakika nimeshangazwa sana na hii habari, ila inaelekea hali hii ni ya kawaida tu kwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu huku tukiwa na takribani miaka 60 ya kujitawala.

Jamani vitu vingine tuone aibu kwani haiwezekani viongozi watembee na mashangingi huku watoto wetu wananing'nizwa kwenye miti kama viroba miaka 60 baada ya uhuru na watu tunaridhika tu.

Alieturoga watanzania hakika alikuwa fundi.
Weka picha acha umbea

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Nani alikwambia sisi ni watu? Sisi ni takataka fulani zinazotumia miguu miwili kutembea na kuigaiga kila kitu kinachofanya viongozi wabaki kuongiza viumbe hivi
Ukweli mtupu
Wengi wetuni wale wazungu wanawaita 'ma ZOMBIES'.
 
Nani alikwambia sisi ni watu? Sisi ni takataka fulani zinazotumia miguu miwili kutembea na kuigaiga kila kitu kinachofanya viongozi wabaki kuongiza viumbe hivi
Uko sahihi kabisa. Sisi huenda ni binadamu fake.
 
Hii habari nimesoma twitter, habari inayosema watoto wadogo wanapimwa uzito kwa kuning'inizwa kwenye mti huko wilayni Tarime mkoa wa Mara(kuna picha ikionyesha tukio hilo).

Hakika nimeshangazwa sana na hii habari, ila inaelekea hali hii ni ya kawaida tu kwa baadhi ya maeneo ya nchi yetu huku tukiwa na takribani miaka 60 ya kujitawala.

Jamani vitu vingine tuone aibu kwani haiwezekani viongozi watembee na mashangingi huku watoto wetu wananing'nizwa kwenye miti kama viroba miaka 60 baada ya uhuru na watu tunaridhika tu.

Alieturoga watanzania hakika alikuwa fundi.
Waache waning'inizwe ili watakapokua wajitambue wasije wakawa kama hawa wa sasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom