Wakuu,
Nchi inakaribia miaka 60 ya uhuru yaani TAA Na TANU zilihubiri maji, barabara na madawati, na CCM nayo bado wanazunguka kutuhubiria hayohayo mambo ya maji, barabara naamini kama sio watanzania tuna matatizo sehemu basi, maana hata mwanamke ukiwa unampa ahadi za kufanana siku zote mwisho anakuona wewe muongo anaachana na wewe.
Nimejaribu kuwaza tu kwa akili ya kawaida.