Miaka 60 ya uhuru, Bado CCM inazunguka kuhubiri Barabara, Madawati, Naamini Watanzania Tuna tatizo kiakili

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,927
28,361
Wakuu,

Nchi inakaribia miaka 60 ya uhuru yaani TAA Na TANU zilihubiri maji, barabara na madawati, na CCM nayo bado wanazunguka kutuhubiria hayohayo mambo ya maji, barabara naamini kama sio watanzania tuna matatizo sehemu basi, maana hata mwanamke ukiwa unampa ahadi za kufanana siku zote mwisho anakuona wewe muongo anaachana na wewe.

Nimejaribu kuwaza tu kwa akili ya kawaida.
 
Absolute you have answere him fact

Hua hata kiongozi akihutubia akafananisha vitu vya Tanzania na Marekani hapo basi namuona uelewa wake ni wa walakini lazima ujue kuishi na kujifunza mazingira yako kwanza sio uishi kwa kujifunza mazingira ya watu wengine!
 
Absolute you have answere him fact
huyo jamaa ana akili sana...kaongea ujinga makusudi tu kwasababu hapendi sifa sana mda ote...yuko humble ili mda mwingine mmchukulie wa kawaida tu...ila akianza kutema madini yake kila wakati..mtamkimbia
 
Siku tukiwaondoa hawa wajinga madarakani ndio tutagundua ni kwa kiasi gani tumejichelewesha.

Ukitaka kujua serikali imejaa wajinga hebu jaribu kufungua biashara, vihunzi utakavyo kutana navyo unaweza kubaki unacheka.
 
huyo jamaa ana akili sana...kaongea ujinga makusudi tu kwasababu hapendi sifa sana mda ote...yuko humble ili mda mwingine mmchukulie wa kawaida tu...ila akianza kutema madini yake kila wakati..mtamkimbia
Unaweza kuwa na madini, lkn once inatokea unashabikia jambo lenye mantiki kwa mtazamo hasi na hoja dhaifu basi unastahili kupuuzwa na madini yako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom