Miaka 60 ya uhuru, Bado CCM inazunguka kuhubiri Barabara, Madawati, Naamini Watanzania Tuna tatizo kiakili

CCM wanajua, watanzania wengi hazimo. Waelewa tupo wachache, nasie waelewa hatupigi kura. Wanaopiga kura wengi ni waaiojielewa ndo mtaji wa ccm.
 
Miaka 59 sio 'overnight', pia hakuna mtu anayesema tunapaswa kuwa tumetatua changamoto zote, mleta mada ameainisha vitu fulani basic kwa nchi yenye umri kama wetu.
Had Vietnam wanakuja kuwekeza kwetu.(Halotel).Aisee tumechelewa sana.Thailand, Singapore,Korea vinchi vilikuwa masikini wa kutupa hata kandambili tu kuvaa ilikuwa shida Leo tunavaa mitumba yao.Tunashindwa kujimudu hata nguo, tunavaa mitumba, inasikitisga sana.
 
CCM wanajua, watanzania wengi hazimo. Waelewa tupo wachache, nasie waelewa hatupigi kura. Wanaopiga kura wengi ni waaiojielewa ndo mtaji wa ccm.
Nipo bush mkuu 10 years.Yani watu wa vijijini hupiga kura kama kasumba, af hutishiwa na wenyeviti wa vijiji kuwa wasipoenda watakiona.Watu wa vijijini wamenyiwwa elimu hivyo IQ yao wengi ipo chini, jioni hukusanyika vilabuni kunywa na kuwa unconscious hivyo huzidi kudumaza akili.Kiangazi hukusnyika kwenye ngoma na kuishughulisha akili na ngoma.
Kwenye vikao vya a kijiji mwenyekiti hudhibiti wote wenye uelewa hivyo hakuna uamsho wa ubongo.Redio hawasikilizi Bali wachache tu.Usitarajie mabadiriko hivi karibu labda miaka 20-30 ijayo.
 
Wakuu,

Nchi inakaribia miaka 60 ya uhuru yaani TAA Na TANU zilihubiri maji, barabara na madawati, na CCM nayo bado wanazunguka kutuhubiria hayohayo mambo ya maji, barabara naamini kama sio watanzania tuna matatizo sehemu basi, maana hata mwanamke ukiwa unampa ahadi za kufanana siku zote mwisho anakuona wewe muongo anaachana na wewe.

Nimejaribu kuwaza tu kwa akili ya kawaida.
Mkuu usiseme umewaza kwa akili ya kawaida. Sijui hawa wanaozisikia ahadi kama "nitatengeneza barabara hii kwa kiwango cha lami, msiponiletea mbunge na diwani toka ccm sitawaletea maji"" alafu wanashangilia sijui wamekogwa ama?
Ni swari ambalo mimi na familia yangu tumekuwa wakijuliza je kuna jipya CCM watakaloweza kulifanya?
Ngoja tuwajaribu wanaoongea ukweli na wenye sera zinazoeleweka kutokana na mazingira ambayo jiwe ameyatengeneza kwa watanzania kwa miaka 15.
 
Hua nakuona una logic lakini leo nadhani uwezo wako kifikra umeishia hapo, naizungumzia Tanzania unaleta habari za marekani na uchina hii inaitwa “Null Variation”
Huyo hana logic yoyote, wewe hua unasoma zile nadharia zake za kufikirika?

Hao ni mojawapo ya zero brain.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom