WISDOM SEEDS
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 841
- 283
Tanzania imepiga hatua kubwa kufuta umaskini katika miaka 50 kuliko nchi nyingi kwa muda huo.
Hata Merekani, ambayo ni nchi tajiri duniani, mpaka miaka 150 baada ya Uhuru walikuwa bado wanatabaka la
umaskini kubwa kuliko ilivyo Tanzania kwa sasa.
Tanzania imepiga hatua kubwa kufuta umaskini katika miaka 50 kuliko nchi nyingi kwa muda huo. Hata Merekani, ambayo ni nchi tajiri duniani, mpaka miaka 150 baada ya Uhuru walikuwa bado wanatabaka la umaskini kubwa kuliko ilivyo Tanzania kwa sasa.

Iko njema.tafuta wimbo wa luck dube uko kwenye ''albam ya house of exile ''kuna wimbo unaitwa ''mickey mouse freedom'' katika lyrics za wimbo huo kuna lyrics inasema hv WOLKING LIKE A MILLIONAIRE CAUSE YOU THINK THAT U'RE COUNTRY IS FREE, BUT ONE THING U DONT UNDERSTAND THAT U'RE COUNTRY IS REMOTED CONTROL

Chorous; ITS A MICKEY MOUSE FREEDOM YEEEH!
Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru imetolewa leo ambayo ni 'Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele'
Je iko relevant na Tanzania ya leo miaka 50 baada ya Uhuru?
Kwa umri wangu sijapata kuona shida katika maisha kama kipindi cha utawala wa awamu ya JK. Ni awamu ambayo haifai kutumia hiyo kauli mbiu.Ni kauli mbiu nzuri kabisa.Tumethubutu kujitawala na tumeweza. Tumeweza kupunguza umasikini kwa hali ya juu sana na hili nalo tumeweza ingawa jitihada bado zinafanyika maana kutokomeza umasikini ni mchakato na mwisho tunasongambele katika kujiletea maendeleo na hili tumeliona chini ya serikali ya Rais Kikwete kwa kuwekeza sana katika elimu mfano Chuo Kikuu Cha Dodoma, na katika kilimo kwani ni hivi karibuni benki ya wakulima inaanzishwa ukiachilia mbali benki ya wanawake ambayo imekwisha anza kazi.
Hakika tunasonga mbele.

Kwani hiyo nchi inayotimiza miaka hansini ni ipi, au ni zanzibar. Kwa sababu Tanzania haina miaka 50. Na hiyo inayoitwa tanzania bara si nchi.

Wadanganyika Duhhhhh. Hii shareha ni ya kufutwa au Tanganyika irudi.

Uhuru wa miaka 50 tunaosheherekea mwaka huu ni uhuru wa nchi ya Tanganyika; naomba kusaidiwa hapa, kwa nini tunausherekea watanzania wote kama vile ndo uhuru wa Tanzania? Au ndo mapungufu ya muungano?
MIAFRIKA kwa longo longo jamani hata sielewi... Sasa hizi Kauli Mbiu bila utekelezaji bora ndio kitu gani? - Inatusaidia nini maneno mazito mazito kama sii siasa za Kikomunist!..Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 50 ya Uhuru imetolewa leo ambayo ni 'Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga mbele'
Je iko relevant na Tanzania ya leo miaka 50 baada ya Uhuru?

Kwani hiyo nchi inayotimiza miaka hansini ni ipi, au ni zanzibar. Kwa sababu Tanzania haina miaka 50. Na hiyo inayoitwa tanzania bara si nchi.

Wadanganyika Duhhhhh. Hii shareha ni ya kufutwa au Tanganyika irudi.

Slogan ipo general sana. Inanipa maswal meng na majibu kidogo sana kwasababu sijajua walimaanisha nin!

1. Wemethubutu, wameweza kutuletea mikataba feki.

2. Wamethubutu, wameweza kuiba rasilimal za nchi yetu.

3. Wamethubutu, wameweza kuwakingia kifua mafisad.

4. Wamethubutu, wameweza kuiba kura ktk chaguz ndogo na kubwa.

Wamejarbu na kufanya mengi sana,