Miaka 26 na nilivyowaelewa Wanawake.

Miaka 26 na nilivyowaelewa Wanawake.

Hahaaaaa wewe kiboko kah mi nisingekupa housegirl hawezi nilelea mwanangu, ujue wanaume ulezi hamuwezi. Na hao wanawake wamekupa kabisa watoto?
Hapa sasa hivi nalea watt 4 kila mtu na mama yake na wanaekula,kuvaa na kusoma
 
Hahaaaaa wewe kiboko kah mi nisingekupa housegirl hawezi nilelea mwanangu, ujue wanaume ulezi hamuwezi. Na hao wanawake wamekupa kabisa watoto?

Na wananiomba tuongeze watt wengine...nkifika kwangu huyu kanipokea begi huyu ananipa maji yule mdogo anataka cmu aingie youtube mkubwa anataka tufanye homework
 
[emoji23][emoji23] tayari nijibu

😀😀😀😀😀 usemalo ni kweli..
Mahusiano yeyote yale i
Yanahitaji utayari wa kifikra na kiakili
Kwanini naanzisha mahusiano na kwanini nimeamua kuwa na huyu..
Je nitaweza ishi kwa uvumilivu..
Maswali kama hayo na menhne zaidi yanaitaji kutafakariwa majibu yake
Yatakuongeza
Kukabiliana na changamoto utakazozpata..
Katika mahusiano..
Sasa hivi unakuta kijana kisaa kafikisha umri wa kuoa anataka sasa aoe ajui A to Z kuhusu ndoa..
Yeye tu ndio huyo anaingiaa
Kisa katazama
Movies na tamthiliya akaona mapenzi yalivyo
Hajui nini thamani ya heshima katika ndoa au mahusiano..
Anachojua ni kupata watoto aitwe baba na mama..

Ndio maana zaman kidogo mabint walikuaa wanafundwa na wanaume pia walikuaa wanataribu zao..
Siku hizi ndio vile wameoana miezi kadhaa wameachana yaan walianzisha mahusiano bila kuwa na utayari wa kifikra na kiakili zaidi
... Unaishi katika mahusiano bado unaishi nje ya ulimwengu wa mahusiano..
Au kisa yule uliemtegemea mwanzo awe nawe amevunja ndoto zako hivyo unaamua kuanzisha upya na mwingine..

Hivyo kujua me/ke anataka nini itategemea na utayari wake unaweza fanya kila jambo lakini kama mtazamo wake haupo kwako ni kazi bure..
 
Hatuwezi kurudisha mashambulizi wangekuwa wanawake wenzetu tungerudisha. Wanawake tunsjitambua ndo mana hukuti topic zetu kujiliza liza sijui wanaume wasumbufu, eeeh Ila wanaume kwa malalamiko kah
Wengi wanakua wageni kwenye hii tasnia ya malove
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] usemalo ni kweli..
Mahusiano yeyote yale i
Yanahitaji utayari wa kifikra na kiakili
Kwanini naanzisha mahusiano na kwanini nimeamua kuwa na huyu..
Je nitaweza ishi kwa uvumilivu..
Maswali kama hayo na menhne zaidi yanaitaji kutafakariwa majibu yake
Yatakuongeza
Kukabiliana na changamoto utakazozpata..
Katika mahusiano..
Sasa hivi unakuta kijana kisaa kafikisha umri wa kuoa anataka sasa aoe ajui A to Z kuhusu ndoa..
Yeye tu ndio huyo anaingiaa
Kisa katazama
Movies na tamthiliya akaona mapenzi yalivyo
Hajui nini thamani ya heshima katika ndoa au mahusiano..
Anachojua ni kupata watoto aitwe baba na mama..

Ndio maana zaman kidogo mabint walikuaa wanafundwa na wanaume pia walikuaa wanataribu zao..
Siku hizi ndio vile wameoana miezi kadhaa wameachana yaan walianzisha mahusiano bila kuwa na utayari wa kifikra na kiakili zaidi
... Unaishi katika mahusiano bado unaishi nje ya ulimwengu wa mahusiano..
Au kisa yule uliemtegemea mwanzo awe nawe amevunja ndoto zako hivyo unaamua kuanzisha upya na mwingine..

Hivyo kujua me/ke anataka nini itategemea na utayari wake unaweza fanya kila jambo lakini kama mtazamo wake haupo kwako ni kazi bure..
Umeongea kiutu uzima kweli. Shkamoo
 
Dah sio mbaya Lakin watakua tu hivo hivo loh.

Back
Top Bottom