Miaka 26 na nilivyowaelewa Wanawake.

Miaka 26 na nilivyowaelewa Wanawake.

Huwezi fahamu mwanamke anataka nini kama wewe mwanaume hujui unachotaka.
Mpaka sasa sijawahi fahamu wanawake wanataka nini.. [emoji3] nadhani kuna mengi alidaganywa na yule nyoka sisi tunashindwa kuyatambua.. [emoji16]
 
Wamama wako matured hats upstairs (kichwani) ila bado huendeshwa na hisia kuliko akili
Mwanamke hata mzee wa miaka 100 bado ataendeshwa tu na hisia mkuu. Ndivo alivoumbwa. Kinachotakiwa ni kuishi nao kwa akili tena akili kubwa
 
Aisee. Sasa hivi watakuwa wamefika 80 hivi. Upo vizuri[emoji23][emoji23]

Idadi nilipoteza mwaka 2005 nlipokuwa mwaka 2 pili, caro demu wangu alishanifumania mara 5 na wadada tofauti mara ya mwisho alikuja na kisu anichome kbs
 
Idadi nilipoteza mwaka 2005 nlipokuwa mwaka 2 pili, caro demu wangu alishanifumania mara 5 na wadada tofauti mara ya mwisho alikuja na kisu anichome kbs
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu! Basi wewe unafaa kumpa mtoa mada jibu, utakuwa unawafahamu wanawake vizuri
 
Back
Top Bottom