Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,545
- 15,781
Florida teen Ivins Fosier was sentenced to 23 years for fatally shooting a retired police K-9.[Urban Cusp]
Mkuu,hapo ni sawa na kuua askari tu.Huyo si mbwa kama mbwa umjuaye
Hata kama angekuwa mbwa wa kawaida ni sawa tu, dunia sio kwaajili ya binadamu peke yao kama baadhi ya watu wanavyofikiri!
hahahaha mkuuu huwezi fananisha dhamani ya binadam na mbwa aiseee.
hembu njooni huku muone sisi tunavyo watafuna hao viumbe .
jamani mtoto na jamani mbwa kafa
Hata kama angekuwa mbwa wa kawaida ni sawa tu, dunia sio kwaajili ya binadamu peke yao kama baadhi ya watu wanavyofikiri!
kwa nini mkuu?Cjakusoma!
jamani mtoto na jamani mbwa kafa
nimeonea huruma hivi viumbe .. mmoja atakufa kwa mateso mwingine amekufa fastaSijaelewa unamaanisha nini hapa!
Bila shaka huyu mbwa alikuwa Inspekta!
Florida teen Ivins Fosier was sentenced to 23 years for fatally shooting a retired police K-9.[Urban Cusp]
![]()