Miaka 23 jela kwa kuua mbwa

Miaka 23 jela kwa kuua mbwa

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781


Florida teen Ivins Fosier was sentenced to 23 years for fatally shooting a retired police K-9.[
Urban Cusp]

11709646_936572356402183_6234147984949608786_n.jpg


 
Hata kama angekuwa mbwa wa kawaida ni sawa tu, dunia sio kwaajili ya binadamu peke yao kama baadhi ya watu wanavyofikiri!

hahahaha mkuuu huwezi fananisha dhamani ya binadam na mbwa aiseee.

hembu njooni huku muone sisi tunavyo watafuna hao viumbe .
 
hahahaha mkuuu huwezi fananisha dhamani ya binadam na mbwa aiseee.

hembu njooni huku muone sisi tunavyo watafuna hao viumbe .

Kwenye upande wa kutumia kama kitoweo hilo ni swala lingine, na ndio maana sita kuwa na shida na ng'ombe, mbuzi, kitimoto, kuku nk wanapofanywa kitoweo, ila huyo dogo atakuwa amemshoot tu kwa kujifuraisha kitu ambacho sikubaliani nacho, kuna watoto mtaani wasione paka kakatiza watamtupia mawe kama nini, thats not fare!
 
Hata kama angekuwa mbwa wa kawaida ni sawa tu, dunia sio kwaajili ya binadamu peke yao kama baadhi ya watu wanavyofikiri!

Kuna mtu alishawah kuniambia dunia itaendelea hata kama binadamu wote wakifa lakini ikitokea wanyama wote wamekufa basi ndo life katika dunia linakata..kwa maana wanyama ni muhimu zaid kwa ustawi wa maisha kuua mnyama na mtu ni kosa
 
Wakati mwingine nafikiri hizi hukumu zinatolewa kibaguzi tu. Kama angekuwa kijana wa kizungu kaua mbwa sijui kama angefungwa miaka 23 yote hiyo.

Kwa mfano rejea makosa ya Suge Knight, he just accidentally run over a person in a dark, but charged with hit and run murder with a bail of $10-million. Na huyu kijana wa kizungu, Dylann Roof ameua watu weusi 9 kwa bunduki, lakini akipewa bail itakuwa $ 1-million tu.
 
Only 23yrs?.Adhabu Ndogo Sana.Alistahili Apewe Life Sentence.Shenzi Type!.

He Doesn't Know That Dog Is Like A God On Earth?
 
Back
Top Bottom