Miaka 20 ya harakati za ukombozi wa wanawake kimapinduzi tgnp- 50/50 isiwe tu kwenye ubunge

Kwenye harakati za ukombozi wa mwanamke, mwanaharakati anapopokea kichapo, hawezi kukaa kimya.
P

Hahhahah naomba niungane na KIKAZI sijui umewaza nini mkuu

anyway wanaharakati wanawake kwa maono yangu wanafilisika kiitikadi na kimkakati. Mfano Vicky Kamata huyu mama alikuwa anawashawishi wanawake wajikomboe ila alipopewa fadhila na mzee wa Msoga, harakati zikafia mbali akawaacha Solemba. Nakumbuka tena mama Terry naye alipoingia kwenye 18 za wanasiasa ndo ikawa mwisho wake.

Mwanaharakati naye mkubali ni Rebeca Gyumi Nyatori huyu ana mkakati na anaitikadi nayoona akikomaa atafika mbali sio hawa wanaharakati koko shule ni hola. Uarakati wao hawa makoko unaanza pale anapobakwa mtoto wa kike na nafasi za kupeana au almaarufu nafasi-za-u-baby. Wabadilike wachape kazi kama wazungu waache za dezo dezo
 
Back
Top Bottom