Miaka 20 kifo cha Brig. Gen Moses Nnauye

Miaka 20 kifo cha Brig. Gen Moses Nnauye

Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!.

Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Nnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.

P
Kumbe!
 
Uzi huu wa Kumbukumbu ya Brg.Mnauye ni kielelezo tosha cha kuanza kupoteza Kwa mwelekeo wa Jukwaa hili.

Kuanzia Kwa mleta Uzi na wachangiaji wote wameshindwa kuanisha au kuchangia maudhui ya hiyo Kumbukumbu ya Mstaafu huyu!
Ilitarajiwa mleta mada atuambie Kwanini kulifanyika Kumbukumbu hii,kulijadiliwa Nini,na na nani!

Hapa tulitarajiaa kujua Huyu mzee alikuwa naani,alifanya Nini amabacho kizazi Cha Leo king3jifunza! Nafikiri hata Kumbukizi yalijadiliwa hayo!

Matokeo yake tunasoma ...Hakuwa na nyumba,alikiwa mlevi, watoto was nje nk! Kwa kijana ambaye hakuwai kumjua au kUmsoma angejifunza kitu gani kupitia Uzi huu!

Cha kisikitisha na kukera hata member wakongwe was Jf,wasomi na waandishi wa habari nao wameishia kueleza kuwa huyu mtu hakuwa na nyumba,alikuwa moto chini ...na mambo meengine ya kifamilia...Hakika huu ni upuuzi was kiwango Cha juu!

Huu Uzi ulitakiwa upelekwe JUKWAA LA UMBEYA NA UDAKU!
Ukweli haujawahi muacha mtu salama.
 
Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!.

Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Nnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.

P
Nimekuelewa sana Mkuu Pascal Mayalla
 
IMG_0657.jpeg
 
MIAKA 20 KIFO CHA BRIG GEN MOSES NNAUYE

Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, waasisi wa TANU na ASP, wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wastatafu, Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mawaziri Wastaafu, Makatibu Wakuu Wakuu Wastaafu wa CCM (Kinana, Makamba na Mkama), Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka, Wabunge na viongozi kadhaa wa vyama vya siasa Jumapilli 5 Desemba, 2021 wakiongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, wamehudhuria Kongamano Maalum la kumbukizi ya Miaka 20 ya kifo cha Marehemu Brig. Gen. Moses Nnauye yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

#Wazeenihazina
#Tuwaenzi

View attachment 2034254View attachment 2034255View attachment 2034256View attachment 2034257View attachment 2034258
hivi hakuwa na watoto wengine, nape alikuw amtoto wa ndoa au wa kambo? watoto wengien wapo wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom