Miaka 20 kifo cha Brig. Gen Moses Nnauye

Huyu mzee hakuacha hata kibanda,hakuwahi kumiliki nyumba iwe duniani au mbinguni,siku anakufa tulikosa sehemu ya kufunga maturubai na kufanyia msiba tukaenda nyumbani kwa makamba
Hata hapo kwa Makamba si ni nyumba ya serikali pia? Si yalikuwa ni makazi ya Rc? Au sivyo?

Mzee Mnauye si alikuwa anakaa upanga nyumba za NHC? Na mzee Malecela mpaka leo si ana flat Upanga sea view za National housing?

Sofia Simba si anakaa National housing flat nyuma ya Tambaza upanga?

Hizi tamaa zenu za kifisadi kujenga mahekalu sijui nani aliwafundisha tabia hizi.

Mzee Nnauye hakuwa mjinga aliishi kwa haki na kiasi.
 
Kwa nini?
Huyu mzee hakuacha hata kibanda,hakuwahi kumiliki nyumba iwe duniani au mbinguni,siku anakufa tulikosa sehemu ya kufunga maturubai na kufanyia msiba tukaenda nyumbani kwa makamba
 
Kipimo cha DNA si kinaweza kufanyika hata leo kuweka historia sawa?!
Hayo mambo ya kubambikiwa sio mambo!. Hata Chief Burito, ilisemekana alibambikiwa!. Bi mdogo alitoroshwa na mchunga ng'ombe wao wa Kitusi, akatorokea Usukumani. Chifu alipomfuata akaambiwa it's too late, tayari kuna kiumbe!. Chifu hakujali akabeba mzigo wake na kiumbe chake. Hivyo kichanga kikazaliwa kwa Chifu. Hata yule Blaza, inasemekana lile jina ni la baba wa kufikia!.
P
 
Burito.jpg

Hebu angalia hiyo sura aisee, The Stark Resemblance....!
 
Huyu mzee hakuacha hata kibanda,hakuwahi kumiliki nyumba iwe duniani au mbinguni,siku anakufa tulikosa sehemu ya kufunga maturubai na kufanyia msiba tukaenda nyumbani kwa makamba
duuh kwanini?
dadavua
 
Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!. Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Mnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.
P
Kumbe Mbunge Nnauye ni mtoto haramu au ni mtoto yupi ni mtoto wa nje ya ndoa!
 
Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!. Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Mnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.
P
Unataka kutwambia yule aliye tole wa bastola kumbe ni bao la njee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom