Miaka 20 kifo cha Brig. Gen Moses Nnauye

Amini nakuambia, mshahara wa watumishi wa serikali hautoshi!, mfano Mshahara wa mtumishi wa umma No. 1 Tanzania, (Rais wa JMT) ni TZS.9,500,000!, VC, 8,500,000, PM, 7,500,00, Ma KM, Mawaziri, wabunge wakurugenzi etc, ni chini ya hapo. Nyerere alikuwa na watoto 8, na big extended family pale Msasani, akajipunguzia mshahara, sasa kwa mshahara huo unategemea mtu angefanya nini?.
Ukiwa mzalendo wa kweli huwazi nyumba, unawaza nchi. Watu wa Nyerere wengi wamekufa masini wa kutupwa!. Enzi hizo kuliko na miiko ya uongozi, kiongozi haeuhusiwi kufanya biashara yoyote!.
P
Samahani Paskali hapo ulipoandika VC ndio umemaanisha makamu wa rais?
 
Waliuziwa hiizo kipindi cha Mkapa

..kumuuzia Moses Nnauye flat ya NHC ni kumdhulumu jasho lake, na kumdhihaki.

..Moses Nnauye alikuwa mhamasishaji mkuu wa majeshi yetu mstari wa mbele ktk vita vya Kagera.

..Pia ni mtunzi mkubwa wa nyimbo za chama kuanzia wakati wa Tanu mpaka CCM.

..Enzi za Mwalimu Nyerere na Mzee Mwinyi shughuli za uhamasishaji wakati wa kampeni zilikuwa zikifanywa na wasanii wa ndani wa chama.

..Nadhani Moses Nnauye amewahi kuwa Naibu waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa.
 
Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!. Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Mnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.
P
Kitanda hakizai haramu!
 
Uzi huu wa Kumbukumbu ya Brg.Mnauye ni kielelezo tosha cha kuanza kupoteza Kwa mwelekeo wa Jukwaa hili.
Kuanzia Kwa mleta Uzi na wachangiaji wote wameshindwa kuanisha au kuchangia maudhui ya hiyo Kumbukumbu ya Mstaafu huyu!
Ilitarajiwa mleta mada atuambie Kwanini kulifanyika Kumbukumbu hii,kulijadiliwa Nini,na na nani!
Hapa tulitarajiaa kujua Huyu mzee alikuwa naani,alifanya Nini amabacho kizazi Cha Leo king3jifunza!
Nafikiri hata Kumbukizi yalijadiliwa hayo!
Matokeo yake tunasoma ...Hakuwa na nyumba,alikiwa mlevi, watoto was nje nk!
Kwa kijana ambaye hakuwai kumjua au kUmsoma angejifunza kitu gani kupitia Uzi huu!
Cha kisikitisha na kukera hata member wakongwe was Jf,wasomi na waandishi wa habari nao wameishia kueleza kuwa huyu mtu hakuwa na nyumba,alikuwa moto chini ...na mambo meengine ya kifamilia...Hakika huu ni upuuzi was kiwango Cha juu!
Huu Uzi ulitakiwa upelekwe JUKWAA LA UMBEYA NA UDAKU!

sasa ulitaka waongee nini humu!,kama waliweka kikao cha kumbukumbu wamekifanya.sisi humu tupo kwa ajili ya kumjua kindani zaidi.
ndio maana ukitangazwa kwenye vyombo vya habari au stori za nje ya JF .sisi humu tuna pekua mpaka ndani ya mfupa
 
MIAKA 20 KIFO CHA BRIG GEN MOSES NNAUYE

Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, waasisi wa TANU na ASP, wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wastatafu, Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mawaziri Wastaafu, Makatibu Wakuu Wakuu Wastaafu wa CCM (Kinana, Makamba na Mkama), Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka, Wabunge na viongozi kadhaa wa vyama vya siasa Jumapilli 5 Desemba, 2021 wakiongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, wamehudhuria Kongamano Maalum la kumbukizi ya Miaka 20 ya kifo cha Marehemu Brig. Gen. Moses Nnauye yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

#Wazeenihazina
#TuwaenziView attachment 2034254View attachment 2034255View attachment 2034256View attachment 2034257View attachment 2034258
Kuna watu Wana CV nzito,
I wanted to be a soldier and an engineer,I become only the former!!
Hawa wazee wetu walikuwa vyuma kweli kweli,sio vijana wa sasa hv wakiteuliwa tu kwenye U DC wanavimba vichwa kwamba wanaijua nchi na chama
 
Uzi huu wa Kumbukumbu ya Brg.Mnauye ni kielelezo tosha cha kuanza kupoteza Kwa mwelekeo wa Jukwaa hili.
Kuanzia Kwa mleta Uzi na wachangiaji wote wameshindwa kuanisha au kuchangia maudhui ya hiyo Kumbukumbu ya Mstaafu huyu!
Ilitarajiwa mleta mada atuambie Kwanini kulifanyika Kumbukumbu hii,kulijadiliwa Nini,na na nani!
Hapa tulitarajiaa kujua Huyu mzee alikuwa naani,alifanya Nini amabacho kizazi Cha Leo king3jifunza!
Nafikiri hata Kumbukizi yalijadiliwa hayo!
Matokeo yake tunasoma ...Hakuwa na nyumba,alikiwa mlevi, watoto was nje nk!
Kwa kijana ambaye hakuwai kumjua au kUmsoma angejifunza kitu gani kupitia Uzi huu!
Cha kisikitisha na kukera hata member wakongwe was Jf,wasomi na waandishi wa habari nao wameishia kueleza kuwa huyu mtu hakuwa na nyumba,alikuwa moto chini ...na mambo meengine ya kifamilia...Hakika huu ni upuuzi was kiwango Cha juu!
Huu Uzi ulitakiwa upelekwe JUKWAA LA UMBEYA NA UDAKU!
Alikuwa msanii wa jeshi... mhamasisahaji akiwa jeshini alikuwa na Lt Makamba.
kwenye vita vya kagera nafasi yake ilikuwa kuwaburudhisha wanajeshi baafa ya vita na uchovu wa hapa na pale.

kiufupi alikuwa kama Cpt komba kwa CCM.
sasa yeye alikuwa ni wa jeshi..
 
Uzi huu wa Kumbukumbu ya Brg.Mnauye ni kielelezo tosha cha kuanza kupoteza Kwa mwelekeo wa Jukwaa hili.
Kuanzia Kwa mleta Uzi na wachangiaji wote wameshindwa kuanisha au kuchangia maudhui ya hiyo Kumbukumbu ya Mstaafu huyu!
Ilitarajiwa mleta mada atuambie Kwanini kulifanyika Kumbukumbu hii,kulijadiliwa Nini,na na nani!
Hapa tulitarajiaa kujua Huyu mzee alikuwa naani,alifanya Nini amabacho kizazi Cha Leo king3jifunza!
Nafikiri hata Kumbukizi yalijadiliwa hayo!
Matokeo yake tunasoma ...Hakuwa na nyumba,alikiwa mlevi, watoto was nje nk!
Kwa kijana ambaye hakuwai kumjua au kUmsoma angejifunza kitu gani kupitia Uzi huu!
Cha kisikitisha na kukera hata member wakongwe was Jf,wasomi na waandishi wa habari nao wameishia kueleza kuwa huyu mtu hakuwa na nyumba,alikuwa moto chini ...na mambo meengine ya kifamilia...Hakika huu ni upuuzi was kiwango Cha juu!
Huu Uzi ulitakiwa upelekwe JUKWAA LA UMBEYA NA UDAKU!
Ni kama Paskali ameanza kuishiwa, ukisoma anachokiandika hata kuhusu mwendazake ambaye siku zote amekuja akimkubali, utafikir acc yake imehakiwa, lkn ukweli ni kwamba P anataka aonekane na kundi Fulani la SASA ambalo ndo limeshikilia nchi kuwa wako pamoja, tumesha mshitukia, P siyo wa kuandika udaku kma huu.

Sent from my 5033X_EEA using JamiiForums mobile app
 
Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!.

Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Nnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.

P
Hallooooo.....njoo huku Poti.
 
Brother,
Haya mambo ni ya kawaida sana hasa kwa kina mama walioko CCM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom