Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Kwani ukiwa mzalendo ndio hulipwi mshahara, au mshahara unapeleka wapi?Hivyo ndivyo walivyo Wazalendo wote wa Nyerere type, hata Nyerere ile nyumba Butiama amefanya kujengewa tuu na JKT!.
P
Siyo bahati, hao ndiyo wenye chama, kama ulikuwa hujui.Kutesa kwa zamu sema hii zimu inabahati sana
Kama vile yupo under influence!! Pombe,au nanihiiHii akaunti ya Pascal sijui kama anaandika Pascal
Amini nakuambia, mshahara wa watumishi wa serikali hautoshi!, mfano Mshahara wa mtumishi wa umma No. 1 Tanzania, (Rais wa JMT) ni TZS.9,500,000!, VP, 8,500,000, PM, 7,500,00, Ma KM, Mawaziri, wabunge wakurugenzi etc, ni chini ya hapo.Kwani ukiwa mzalendo ndio hulipwi mshahara, au mshahara unapeleka wapi?
RIP
Nakumbuka msiba ulifanyikia kwa mzee Makamba Dar es salaam!
Watanzania wote wanateseka!Jiwe huko aliko anateseka tu
I see!Amini nakuambia, mshahara wa watumishi wa serikali hautoshi!, mfano Mshahara wa mtumishi wa umma No. 1 Tanzania, (Rais wa JMT) ni TZS.9,500,000!, VC, 8,500,000, PM, 7,500,00, Ma KM, Mawaziri, wabunge wakurugenzi etc, ni chini ya hapo...
Kujenga sio ufisafi,angeweza kujenga kupitia mshahara wake tu,sema alisahau kujengaHata hapo kwa Makamba si ni nyumba ya serikali pia? Si yalikuwa ni makazi ya Rc? Au sivyo?
Mzee Mnauye si alikuwa anakaa upanga nyumba za NHC? Na mzee Malecela mpaka leo si ana flat Upanga sea view za National housing?....
The dark side ya mtu pia ni somo ,inatukumbusha kujenga na kupunguza starehe,starehe zinauaUzi huu wa Kumbukumbu ya Brg.Mnauye ni kielelezo tosha cha kuanza kupoteza Kwa mwelekeo wa Jukwaa hili. Kuanzia Kwa mleta Uzi na wachangiaji wote wameshindwa kuanisha au kuchangia maudhui ya hiyo Kumbukumbu ya Mstaafu huyu...
Kwani ukiwa mzalendo ndio hulipwi mshahara, au mshahara unapeleka wapi?
I see!..wazee waliohudumu wakati wa mwalimu nyerere walikuwa na mishahara midogo.
..pia kulikuwa na miiko ya uongozi ambapo viongozi walikuwa hawaruhusiwi kuwa na " mishahara miwili. "
..Yaani ukiwa mkuu wa idara serikalini huruhusiwi kuwa na mradi kwa mfano daladala, au nyumba ya kupangisha.
..Na wazee wengi wa miaka ile walibarikiwa watoto wengi. Nadhani on average walikuwa na familia za watoto watano, pamoja na extended family.
..hapa nazungumzia wazee waliotumikia na kustaafu ktk awamu ya kwanza. Wengi walistaafu wakiwa hawana nyumba, au wana nyumba ambazo ujenzi haujakamilika.
..Na hali hiyo ilikuwa haichagui kwamba mhusika alikuwa waziri, katibu mkuu, au mkuu wa idara.
..wakati wa Mzee Mwinyi ndipo miiko ya uongozi ilipolegezwa, na viongozi na watumishi wa umma wakaweza kuwa na vimiradi vidogo vidogo majumbani kwao.
..hapo sasa ndipo baadhi wakaanza kufuga ng'ombe, kuku, kumiliki daladala, n.k.
..Kipindi cha Mzee Mwinyi ndipo watumishi wa umma walianza kutajirika, au kujitajirisha, kupitia nafasi zao.
Hata hapo kwa Makamba si ni nyumba ya serikali pia? Si yalikuwa ni makazi ya Rc? Au sivyo?
Mzee Mnauye si alikuwa anakaa upanga nyumba za NHC? Na mzee Malecela mpaka leo si ana flat Upanga sea view za National housing?
Sofia Simba si anakaa National housing flat nyuma ya Tambaza upanga?
Hizi tamaa zenu za kifisadi kujenga mahekalu sijui nani aliwafundisha tabia hizi.
Mzee Nnauye hakuwa mjinga aliishi kwa haki na kiasi.
Hata bashite hii kitu inamtesa sanaJiwe huko aliko anateseka tu
Alifariki ghafla?Huyu mzee hakuacha hata kibanda,hakuwahi kumiliki nyumba iwe duniani au mbinguni,siku anakufa tulikosa sehemu ya kufunga maturubai na kufanyia msiba tukaenda nyumbani kwa makamba
Ndio maana yeye na jamaa wa maumeme ni marafikiNdio maana Nape anamuita mzee Makamba " baba"
Waliuziwa hiizo kipindi cha MkapaHata hapo kwa Makamba si ni nyumba ya serikali pia? Si yalikuwa ni makazi ya Rc? Au sivyo?
Mzee Mnauye si alikuwa anakaa upanga nyumba za NHC? Na mzee Malecela mpaka leo si ana flat Upanga sea view za National housing?
Sofia Simba si anakaa National housing flat nyuma ya Tambaza upanga?
Hizi tamaa zenu za kifisadi kujenga mahekalu sijui nani aliwafundisha tabia hizi.
Mzee Nnauye hakuwa mjinga aliishi kwa haki na kiasi.
PreshaAlifariki ghafla?