Miaka 20 kifo cha Brig. Gen Moses Nnauye

Political Jurist

Senior Member
Joined
Sep 6, 2021
Posts
143
Reaction score
120
MIAKA 20 KIFO CHA BRIG GEN MOSES NNAUYE

Viongozi mbali mbali wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Zanzibar, waasisi wa TANU na ASP, wakuu wa vyombo vya ulinzi na Usalama wastatafu, Waziri Mkuu Mstaafu Joseph Sinde Warioba, Mawaziri Wastaafu, Makatibu Wakuu Wakuu Wastaafu wa CCM (Kinana, Makamba na Mkama), Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka, Wabunge na viongozi kadhaa wa vyama vya siasa Jumapilli 5 Desemba, 2021 wakiongozwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete, wamehudhuria Kongamano Maalum la kumbukizi ya Miaka 20 ya kifo cha Marehemu Brig. Gen. Moses Nnauye yaliyofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere Dar es Salaam.

#Wazeenihazina
#Tuwaenzi

IMG-20211205-WA0730.jpg
IMG-20211205-WA0737.jpg
IMG-20211205-WA0756.jpg
IMG-20211205-WA0740.jpg
IMG-20211205-WA0727.jpg
 
Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!.

Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Nnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.

P
 
Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!. Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Mnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.
P
Ilisemekana kuwa Marehemu alibambikiwa na kuwa Biological father ni Profesa fulani hivi mpole mpole kutoka Nyanda za Juu.
 
inabidi tumuulize Mzee Makamba kile kikaratasi alichopewa vitani Uganda kilikuwa na majina ya kina nani....
 
Ilisemekana kuwa Marehemu alibambikiwa na kuwa Biological father ni Profesa fulani hivi mpole mpole kutoka Nyanda za Juu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Hayo mambo ya kubambikiwa sio mambo!. Hata Chief Burito, ilisemekana alibambikiwa!. Bi mdogo alitoroshwa na mchunga ng'ombe wao wa Kitusi, akatorokea Usukumani. Chifu alipomfuata akaambiwa it's too late, tayari kuna kiumbe!. Chifu hakujali akabeba mzigo wake na kiumbe chake. Hivyo kichanga kikazaliwa kwa Chifu. Hata yule Blaza, inasemekana lile jina ni la baba wa kufikia!.
P
 
Huyu mzee hakuacha hata kibanda,hakuwahi kumiliki nyumba iwe duniani au mbinguni,siku anakufa tulikosa sehemu ya kufunga maturubai na kufanyia msiba tukaenda nyumbani kwa makamba
Hivyo ndivyo walivyo Wazalendo wote wa Nyerere type, hata Nyerere ile nyumba Butiama amefanya kujengewa tuu na JKT!.
P
 
Hayo mambo ya kubambikiwa sio mambo!. Hata Chief Burito, ilisemekana alibambikiwa!. Bi mdogo alitoroshwa na mchunga ng'ombe wao wa Kitusi, akatorokea Usukumani. Chifu alipomfuata akaambiwa it's too late, tayari kuna kiumbe!. Chifu hakujali akabeba mzigo wake na kiumbe chake. Hivyo kichanga kikazaliwa kwa Chifu. Hata yule Blaza, inasemekana lile jina ni la baba wa kufikia!.
P
Kwa hiyo ule usemi kitanda hakizai haramu una mashiko. Kazi iendelee.
 
Hayo mambo ya kubambikiwa sio mambo!. Hata Chief Burito, ilisemekana alibambikiwa!. Bi mdogo alitoroshwa na mchunga ng'ombe wao wa Kitusi, akatorokea Usukumani. Chifu alipomfuata akaambiwa it's too late, tayari kuna kiumbe!. Chifu hakujali akabeba mzigo wake na kiumbe chake. Hivyo kichanga kikazaliwa kwa Chifu. Hata yule Blaza, inasemekana lile jina ni la baba wa kufikia!.
P
Kiukweli kule CCM watoto ni wa mama!
 
Kuna wakati kumbukumbu hii miaka ya nyuma ilileta mtafaruku humu, baada ya Tangazo la familia kuwataja watoto wa marehemu, huku mtoto mmoja akiwekwa kando, kwa hoja alikuwa ni mtoto wa nje!. Na Mungu alivyo mkubwa, lile jiwe Walilolikataa waashi wa familia, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!. Leo anayeliishi jina la Mnauye ndie yule aliyekataliwa, halafu hao watoto wa ndani, are nobodies!.
P
Bwana wee! Ukisikia busara (kudra) za Mungu, ndiyo hizi Sasa.
 
Hayo mambo ya kubambikiwa sio mambo!. Hata Chief Burito, ilisemekana alibambikiwa!. Bi mdogo alitoroshwa na mchunga ng'ombe wao wa Kitusi, akatorokea Usukumani. Chifu alipomfuata akaambiwa it's too late, tayari kuna kiumbe!. Chifu hakujali akabeba mzigo wake na kiumbe chake. Hivyo kichanga kikazaliwa kwa Chifu. Hata yule Blaza, inasemekana lile jina ni la baba wa kufikia!.
P
Mayala blaza yupi tena?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom