Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 7,576
- 9,586
wewe naona huijui serikali...hujui kama serikali inaona raha ikiona kijana anaferi au ameharibikiwa😎 refer kipindi cha utawala wa magufuriNaandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe ugoro bangi sigara
Mpka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
Population controlNaandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe ugoro bangi sigara
Mpka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
Umeongea kweli kabisa.Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe ugoro bangi sigara
Mpka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
UmeUmeongea kweli kabisa.
Kuna tatizo jingine linatukabili, nalo ni kuchukulia wepesi mambo mazito. Hebu rejea post #2
Umeongea kitu cha maana sanaTatizo linaanza upande wa familia, malezi hakuna hapo huwezi tegemea matokeo mazuri
Tushughurikie kwanza mimba za utotoni , kukimbia ujauzito binti anabaki kumpa mtoto malezi ambayo yapo nje yauwezo wake...
Duh!Population control
*Hongezeko la watu) sana sana ambao wamekosa nguzo ya mwanzo ya maisha hivyo hukwepa uhalisia kupitia uleviUme
Umeongea kitu cha maana sana
Ila swali langu ni kwanini miaka hii ndiyo imeshika hatamu kwa ulevi tofauti na enzi zetu
Vijana wanapukutika kama upupu wa kiangazi*Hongezeko la watu) sana sana ambao wamekosa nguzo ya mwanzo ya maisha hivyo hukwepa uhalisia kupitia ulevi
Huyu mtu sio wa kutukanana nae aisee anamatusi adimu sanaa eti nguvu za kusukumia mavi chooni tuNaandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara
Mpaka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
🤣🤣🤣🤣 vijana wanaisha bila wao kujuaHuyu mtu sio wa kutukanana nae aisee anamatusi adimu sanaa eti nguvu za kusukumia mavi chooni tu
Vitu vyote vinasababishwa na serikali kutelekeza sera za ustawi wa familia.Naandika kwa masikitiko sana
Nikiangalia vijana wanavyoteketea kwa pombe, ugoro, bangi, sigara
Mpaka napata kichefuchefu
Unakutana na kijana miaka 19 mpaka 30 hawajulikani
Ni vijana au wazee nadiriki kuwaita ni watu kati si wazee si vijana yaani wapo wapo tu sura zimepauka nguvu walizobakiza ni za kusukumia mavi tu chooni
Serikali hebu angalieni huu utitiri wa viwanda vya pombe vijana wanaisha
😅😅😅Acheni ulevi mnashindwa hata kuzika.Vijana pekee waliosalia ni kutoka moshi/ kilimanjaro. Ni vijana wenye upeo na Maono.
Cc Accumen Mo darcity
Mkuu umeshafika rombo vijana wanavyokunywa pombeVijana pekee waliosalia ni kutoka moshi/ kilimanjaro. Ni vijana wenye upeo na Maono.
Cc Accumen Mo darcity
Vijana wamebakiza nguvu za kusukumia mavi tu chooniMkuu hebu tutue kwanza.
Hapo nguvu zilizobaki ni za kufanyia nini??? Kusukumia mavi chooni???