Miaka 20 baada ya tukio la kigaidi (home-grown terrorism) la September 11 huko Marekani. Tanzania imejifunza nini?

Samia amepeleka umeme kila kona ya Nchi. Pia, amepeleka barabara kila kona ya nchi hata kwa yale majimbo ya wapinzani.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
 
Lissu Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Samia.
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.
 
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.
 
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.
Rais Samia kipenzi cha Watanzania tumchagua kwa kishindo 2025.
 
Rais Samia Mungu amlinde sana mama yetu huyu kipenzi kutoka Zanzibar.
Rais Samia Mungu amlinde sana mama yetu huyu kipenzi kutoka Zanzibar.
President Samia has done good things for our Tanzania. Thanks so much our mama.
Mkuu utafiti ulifanyika, kama uchaguzi ungefanyika siku nne kabla, tayari Rais Samia angeshinda kwa 99%. Huyu mama anakubalika sana kwa watanzania.
Rais Samia anafanya kazi kubwa sana mzalendo huyu.

Ninyi ni wapumbavu!

Na hii ni michezo yako infantry soldier, una ID kumi kumi kwa ajili ya kupigia propaganda mitandaoni na kuibua mijadala yako . ACHA UPUMBAVU!!
 
Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
 
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.
 
Bwana mkubwa Mbowe kama unapita hapa nakuomba ikiwezekana tembea kwa magoti hadi chamwino ukaombe radhi kwa Rais Samia la sivyo mtakufa tu mtakuwa mmekaidi sauti ya Mungu.
Utafiti umefanyika na unasema kuwa Rais Samia atawashinda mafisadi na wezi wa mali za umma.
 
Back
Top Bottom