Miaka 2 ongea bureeeee mitandao yote

Mimi kama nitalipia huduma baada ya miaka 2 kuisha nipo tayari, ni pm.
 
Ukiitiwa Fursa Ujue Wewe Mwenyewe Ndiyo Fursa
Hilo nalo neno.

Labda aweke cv yake hapa isiwe kachomoka kwenye ajira ya tigo na ka software anakafanyia trial kabla wenye tigo yao hawajastuka. Wakija kuamka mliounganishwa nyote mnajumuika kuungana na wabaijibu kesi za uhujumu uchumi.

Cheap is always expensive.
 
Hii hufuma ni ya kweli kwani 20000 kitu gani? Watu wametoa laki shauri yenu.
 
Niunge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…