Miaka 2 ongea bureeeee mitandao yote

Hizi tamaa za kuja public kutangaza biashara kulifanya msesereko wa Data Halotel ufungiwe,niwe mkweli tu,kama imefika hii kitu inatangazea hadharani hivi haichukui hata week mbili hii kitu inafungiwa tu,unayetaka kujiunga kupitia tangazo hili achana na hii kitu utakuja nishkru baadae
 
Haloteli walifunga kweli [emoji16] ila hii haitafungwa
 
When the deal is too good, think twice.
Others are real.
nishawahi kuungwa nikaongea for free like ten minutes.

Muungaji nikamwambia subiri baadae nakutumia Hela yako

akaona kama namwibia.

akaniondoa kwenye mfumo chap kidogo

Dah badae nikaja kugundua kumbe ningeweza.kulipa na bado nikaondolewa either na huyo huyo muungaji au Mtandao husika

So, ukiamua kwendana na huu mseleleko, uwe tayari na Hasara ama Faida.

Pesa inapatikana kwa jasho sana, tusiwe warahisi kuzituma kusipojulikana
 
How do you guarantee that you will be able to use the service for two years continuously?

Mtu anachezea mfumo wa service provider leo anaweza kukuunga kweli ukaongea non stop but then kesho service provider anagundua loophole anarekebisha na huduma kwako inakata.

Hufikiriii kitu kama hicho? Au unadhani huyu anakuunganisha kihalali?
 
The same to what I was arguing of..
 
Kwa kuwa NI MIAKA 2 .nilipe kila baada ya miezi 6 Kwa awamu 4

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…