Miaka 15 ya kifo cha Horace Kolimba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Miaka 15 ya kifo cha Horace Kolimba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nikupateje, Mar 13, 2012.

 1. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Leo ni March 13, 2012 ambapo tarehe kama hii kuanzia mida kama hii, Horace Kolimba alifariki ghafla saa chache baada ya kuhojiwa na NEC ya CCM kuhusu matamshi yake kuwa "CCM imekosa dira".

  Tunapokumbuka siku ya leo kihistoria, basi tukio hili la kifo cha Kolimba haliwezi kuepukwa na ni kazi yetu kuweka sawa historia kwa kuikumbushakumbusha usahihi wake kama hivi.

  Idumu mitandao kama JF inayofanya tuweze kufanya hivi.
   
 2. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Masikini CCM ilimtoa kafara huyu bwana R.I.P Horace Kolimba!
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mzimu wake utaendelea kuitafuna CCM daima.
   
 4. h

  harakati83 Member

  #4
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  na Mungu kuonyesha ccm waliua kupitia Arumeru watu wa CDM watashinda
   
 5. M

  Mohamed Ibrahim Member

  #5
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Marekebisho: ni muda mfupi baada ya kuhojiwa na Kamati Kuu yani Central Committee au CC na sio NEC kama ulivyoandika na alipata shinikizo la damu na sio kuuwawa.
   
 6. M

  Mohamed Ibrahim Member

  #6
  Mar 13, 2012
  Joined: Jan 21, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Na pia alikuwa ni victim wa maradhi ya kisasa
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,131
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Na ukitaka kujua CCM waliamua kumpoteza huyu jamaa yaani hata kwenye historia ya chama chao wamemfutilia mbali kabisa hata picha ya huyu marehemu kwenye maktaba zao wameziDelete kabisa nimezitafuta kwa bidii lakini wapi!
   
 8. Chali wa Moshi

  Chali wa Moshi JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kuna muda hua nakaa nakufikiri na vilevile najijibu mwenyewe, SIASA NI UPUMBAVU usio na maana kabisa, embu fikiri maisha ya kolimba na utafakari then utajua ninamaanisha nini.

  vilevile chukua muda mtafakari mtu kama Mwakyembe jinsi anavyo teseka maskini mnyakyusa wa watu.
   
 9. condorezaraisi

  condorezaraisi JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 225
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  we ni mzima?
   
 10. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hivi pale kwenye ule mkutano si aliwekewa maji ya chupa na akayanywa????
   
 11. N

  Nikupateje JF-Expert Member

  #11
  Mar 13, 2012
  Joined: Dec 22, 2009
  Messages: 1,314
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mimi ndiye nimeleta post hii, nani kasema aliuawa????.
   
 12. m

  mahoza JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 1,242
  Likes Received: 411
  Trophy Points: 180
  RIP Kolimba.
   
 13. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2012
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Kolimba aliuwawa na system baada ya kuona Mkapa angepata shida katika utawala wake kama angeachwa hai.Kolimba pia alihitilafiana na Nyerere kipindi akiwa katibu mkuu wa CCM baada ya kubariki mpango wa serekali tatu huku akijua sera ya CCM ilikuwa serekali mbili.

  Katibu mkuu wa CCM Kolimba na waziri mkuu na makamu wa kwanza wa Rais John Malecela wakapigwa chini (wakatimuliwa katika nafasi zao).
   
 14. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,867
  Trophy Points: 280
  Ingawa huwa nasikia tu Kolimba kolimba, but May his soul rest in peace
   
 15. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  leo hii kuikosoa ccm kwa kukosa dira tungeshauawa sijui watu wangapi. ccm then ilikuwa kwenye denials. ilishapoteza mwelekeo lkn ilikuwa haitaki kuabiwa ukweli. labda ingejirekebisha leo hii hizi criticisms za kukosa mwelekeo zisingekuwepo na labda tungekuwa na better tz. ingawa hivyo, kuna vifo vingi sana vimetokea ktk mazingira ya kutatanisha tulipotoka kwenye mfumo wa chama kimoja na kuhamia mfumo wa vyama vingi. iko siku ukweli utajidhihirisha wazi na wauaji kuwekwa bayana
   
 16. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Walikufa Wengi, Kina Charles Kabeho,Kighoma Malima, Amrani Mayagila, nk..long time
   
 17. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Walijua wakimlaza CCM itafufuka, kumbe ndiyo inazidi kuzama.
  Kolimba, tulikupenda lakini CCM ilikupenda zaidi.
  R.I.P!
   
 18. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #18
  Jul 11, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Marehemu Horice Kolimba alikuwa amejiandaa kwenda kusema ukweli bungeni kuhusu madhambi ya ccm na akiwa Bungeni akajisikia vibaya kabla hajazungumza. Majamaa yetu yale yalikuwa yamesha mkolimba. Ikawa the end of one of the brave men we ever had inside CCM. Mi nafikiri tusiwalaumu sana magamba wapiga mabenchi na kelele za ndiyo. Wako kwenye mafia squad wakienda oposite tu wanakolombiwa na wale wa vitu vya kuteuliwa wana Chifupaiwa. Usalama utapatikana tu pale mpiga kura atakapotia kura yake ya mabadiliko kwenye box la kura.

  Chadema tudeal na kuelimisha tu wananchi na si vinginevyo.
  :israel:
   
 19. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #19
  Jul 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Kweli mkuu umelonga.
   
 20. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #20
  Jul 11, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Una ushahidi ? Watu wengine mnaitafutia serikali lawama ,wangapi wamesema makubwa ndani ya bunge na hadi hii leo wapo ,yaani ukiwa bungeni huwezi kufikiwa na kifo au na maradhi ya ghafla na kupoteza uhai ??? Unataka kuniambia wakubwa vigogo mawaziri raisi hawawezi kufikwa na kifo cha ghafla popote pale wawapo /? Ni mara ngapi mheshimiwa Kikwete ameanguka hadharani ? Mbona hamsemi kama vyama vya upinzani vimemroga,
   
Loading...