Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,429
- 108,580
Dr Bashiru inaonekana naye anatamani kuungana na hiyo safu.Mwezi wa kumbukumbu za vifo vya wengi
- Mwl Nyerere
- Kolimba
- Filikunjombe
- Mtikila
- !
Dr Bashiru inaonekana naye anatamani kuungana na hiyo safu.Mwezi wa kumbukumbu za vifo vya wengi
- Mwl Nyerere
- Kolimba
- Filikunjombe
- Mtikila
- !
Na Nyerere alikuwa hai enzi hizo. Hamna kitu kinachekesha kama wapinzani Watanzania wanavyompamba Baba wa Taifa na demokrasia kama vile hiyo demokrasia ilikuwepo enzi za Nyerere.Leo ni March 13, 2012 ambapo tarehe kama hii kuanzia mida kama hii, Horace Kolimba alifariki ghafla saa chache baada ya kuhojiwa na NEC ya CCM kuhusu matamshi yake kuwa "CCM imekosa dira".
Tunapokumbuka siku ya leo kihistoria, basi tukio hili la kifo cha Kolimba haliwezi kuepukwa na ni kazi yetu kuweka sawa historia kwa kuikumbushakumbusha usahihi wake kama hivi.
Idumu mitandao kama JF inayofanya tuweze kufanya hivi.
Nyerere hakuwa na cheo chochote wakati huo.Na Nyerere alikuwa hai enzi hizo. Hamna kitu kinachekesha kama wapinzani Watanzania wanavyompamba Baba wa Taifa na demokrasia kama vile hiyo demokrasia ilikuwepo enzi za Nyerere.
Nyerere huyu huyu aliekuwa na uwezo wa kuchagua Rais wa Nchi kwa kauli yake tu ndani ya mikutano ya CCM au umechanganya na Steven Nyerere.Nyerere hakuwa na cheo chochote wakati huo.
Dr Bashiru inaonekana naye anatamani kuungana na hiyo safu.
Kama kilichomsibu Ndesamburo tu.


mkuu mleta mada amakugusa kwenye mboniKijana ishia hapo-hapo.Imlan kombe je? .......