St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,645
- 11,153
Kigamboni nilikuwa huko kipindi cha Bush na Obama. Tanzania raha kwa mwenye hela lakini hapafai kwa lofa.Upo wap iv ww
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Kigamboni nilikuwa huko kipindi cha Bush na Obama. Tanzania raha kwa mwenye hela lakini hapafai kwa lofa.Upo wap iv ww
Karibu tena mahana ni home kwakoKigamboni nilikuwa huko kipindi cha Bush na Obama. Tanzania raha kwa mwenye hela lakini hapafai kwa lofa.
Ndukiiiii
Asante ila uku kwetu ukimaliza tu unapata kazi apo apo tu
Aaah ni 5yrs tu brotherMkuu kushakua kwenu tena au ndo ushajaza form za kuomba uraia mana vigezo vyako vimetimia we kwenu bongo bana
Si tongoz mtuwangu wanini na wakat wapo uku nilipoBro kama unatongoza lakini watakuja??
Aaah ni 5yrs tu brother
Hawa wetu Ni rahisi zaidi wakisikia upo huko sisi tunanaonekana vilazA kakaSi tongoz mtuwangu wanini na wakat wapo uku nilipo
Aaaaah daaahHawa wetu Ni rahisi zaidi wakisikia upo huko sisi tunanaonekana vilazA kaka
Wewe peke yako ndo unaonekaan mjanja...
Aaaah freshUkionana na Offset nistue nikupe ka ujumbe kake.
Vp jembe umeshafika na braskaHuu ndio mwandiko wa lawyer!!? Anyway hongera mkuu ,nitakuwa hapo Nebrasaka this June.
Aaaah ndio kumenoga kwa hii bahati mama na baba angu walipata ni bonge la zari mtuwanguRudi nyumbani kumenoga
Aaaah ndio kumenoga kwa hii bahati mama na baba angu walipata ni bonge la zari mtuwangu
Sio kweli kwa upande wangu mm sijawi ku baguliwa na mzunguNasikia watu weusi uko mna baguliwa na kutengwa sana ni kweli
Sio kweli kwa upande wangu mm sijawi ku baguliwa na mzungu
Uongo vp kwanAcha kudanganya sisi tunaishi na wazungu. Kwao mbwa nk bora kuliko mwafrica so usidanganye
KvpAcha kudanganya sisi tunaishi na wazungu. Kwao mbwa nk bora kuliko mwafrica so usidanganye
Hahahaha hahahaha hahaha......Wewe ni mjinga