Miaka 10 yangu marekan

Miaka 10 yangu marekan

wazalilishe marekani tu mwandiko wako huo --Aya lakini ®®®

labda niwe sijakuelewa
 
My friend kwan uko kwenu vp ukimaliza shule no job uku sio kiswahili ni kingereza tu ok na jf ni ya kiswahili ok boss

wazalilishe marekani tu mwandiko wako huo --Aya lakini [emoji2400][emoji2400][emoji2400]

labda niwe sijakuelewa
 
Ongera kwao kwa upande wangu mm america is everything kwangu apa nilipo na familia yangu kwa ujumla
poa brother Ila kuna ubalozi wa Tanzania au Kenya hivi-- Wanachukuaga vijana kama so kama kiswahili kitakuwa hivyo ni hatari

Au ndo utafundisha Day care ??


today is a good day
 
Back
Top Bottom