Chibudee
JF-Expert Member
- Dec 28, 2016
- 1,775
- 2,408
- Thread starter
- #21
Tatizo Tuna ushabiki Mandaazi Ilipaswa Kama Taifa Kusimama kumuunga Mkono Jamaa Ila u team Wakipuuzi Hadi Raia Wa Nje Wanatuangalia Tuna Akili gani Sisi Wa Tz Ipo Country Inatamani Huyu Jamaa Angekuwa Raia wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Imekuwa miaka 10 ya mapinduzi ya sanaa Tanzania. Ameipa thamani sanaa ya muziki na wanamuziki wenyewe. Ameitangaza nchi na kuipa heshima. Anastahili kuwa Baba wa muziki nchini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app