Miaka 10 bila kusikiliza muziki.

Zerock

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2026
Posts
471
Reaction score
892
Najua hakuna kitu ambacho watu wengi wanadai kinawaondolea stress kama muziki.

Nilikuw mmoja wa watu hawo .
Nilikuw nikishinda na Muzik toka asubuhi hadi asubuhi .

Niko kazini, boss akaniletea spika ya Bluetooth,ndo upuuzi ukazidi.

Siku moja nikaona siyo fani,nikafuta mizik yote,nikawa mcha Mungu,
Nilikuw nakuza nywele,nikanyoa,
Nikaanza kukuza ndevu,nikawa ustadh.

Sijawah tena kuwa na hamu ya kusikiliza Muzik toka siku hiyo
 
Moyo wako wenyewe unapiga muziki.
 
Ulizingua, muziki na mtetemo wake inamanufaa makubwa sana kwa mwili, ila inategemea nasikiliza muziki wa aina gani
 
Adi huko kwa kumcha Mungu bado kuna miziki ...au uliachana na miziki ya dunnia?
Tunasemaga sisi kanisani hili ni "sebene la Yesu" 😂😂😂😂😂.
Dahh ila binadamu akiamua kuhalalisha anachokipanda aaah hakosi sababu.
Kimsingi huwez kwepa msingi, sema tu labda usiupe attention. Kuna nyimbo kibao za dunia zinaujumbe wenye manufaa sana tu
 
Sasa sijajua huyu alikwa anasikiliza nyimbo gani izo zinamfanya asinyoe nywele
Itakuwa ni nyimbo ya hatari hio😂
 
Kila mtu ana maamuzi yake kwenye maisha yake,nini afanye na nini asifanye,apende nini na nini asipende,
Cha ajabu watakuja watu kukukosoa na kukuona umekosea! yani watataka wewe uishi kama wao wanavyoishi! au kama watakavyo wao,wakati maisha ni yako,

Love the life you live
Live the life you love.
 
Ukienda Salon ukasema unataka kunyoa nywele,

Watakunyoa nywele au ndevu?
Wananinyoa nywele za kichwani na za kidevuni. Wakitaka kuhamia kwenye nywele za kifuani huwa nawakataza, na kuwaasa wqsioende kugusa nywele za kifuani mwa mwanaume mwenzao.
 
Wananinyoa nywele za kichwani na za kidevuni.
Huwezi kusema unataka kunyoa nywele kisha unyolewe ndevu,
Wakitaka kuhamia kwenye nywele za kifuani huwa nawakataza, na kuwaasa wqsioende kugusa nywele za kifuani mwa mwanaume mwenzao.
Hiki ulichokiandika hapa kinahusiana nini na nilicho kuuliza? haya maelezo umeyaandika kwa lengo gani hasa?
 
Haya Ya Mungu!?
 
Your browser is not able to display this video.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…