Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Habari za masiku tele mabibi na mabwana. Poleni na hongereni kwa shughuli za kuwaingizia kipato.
Kitambo nimekuwa kwenye mradi unaonifanya nilale masaa machache kati ya 24 na mengine nawajibika, uzuri ni mradi wenye ukomo na hapa karibia mwisho wa mradi hivo leo japo ni siku ya kazi kwangu nimeweka kituo kuburudika na kupunguza uchovu.
Rejea mada tajwa, kuna raha sana kuzaliwa mwafrika binafsi najivunia. Moja ya vitu napenda vya kiafrika ni kucheza ( ngoma, nyimbo, za aina na mandhari zote). Ila inapokuja kwenye kukata mauno aaah ndo mahali pake Kasie hapoo. .... shurti dera nilipandishe juu, nichutame kidogo usawa wa kiuno urudi nyuma kidogo halafu naanza bilinge bilinge taratibuuu kama sitaki huku nataka uuuh yangoyooo.
Raha ya kuzaliwa mwafrika ni kufurahia uafrika wangu, na kwasababu miafrika ndivyo tulivyo..... basi Kasie nayaendeleza mauno yangoyooo....
Haya ukinogewa na burudani hapo juu twende pamoja...
Unaanza kunengua huku unaringa kidogo yaani unakata mauno taratibuuu halafu unapeleka mikono yako kati kama unapiga makofi kisha unachetua mguu wa kulia hewani kwa upande wa kulia huku kiwiliwili unakiegema upande wa kushoto kiaina. Halafu unarudia kukata mauno taratibuuu kisha unakutanisha mikono yako kati kusema unataka kupiga makofi halafu unachetua mguu wa kushoto juu upande wa kushoto huku kiwiliwili kikiegema upande wa kulia kwa mbali. Unarudia zoezi lote huku ukifurahia na kutabasamu ukataji wa mauno yako....
Yangoyooo....
Miafrika Ndivyo Tulivyo.... (heheheh heheheee copy right mwenye signature yake) hata tuige vipi ya wazungu miafrika tunafanana tuu.... Yangoyooo.
Kasie Nyonda-ake mtufudenge.