Zimefika Kasie ila hapo kwenye mauno ndani mbona nami navutiwa hukoHehehehehehehehehehehehehehehehehee ubora wa Kasie unadumu kwenye mahabat humohumo na mauno ndani yake.
Wapi baba yeyoooo. Mwambie takwinyaa.
Zimefika Kasie ila hapo kwenye mauno ndani mbona nami navutiwa huko
Hiyo fursa ningeipata mmasai ungemsahau jumla.Waafrika ndivyo tulivyo, urithi tuliopewa na babu zetu...... hakuna jinsi zaidi ya kuendeleza. ..... Yangoyooo
Kuna kaka mmoja jana baada ya kuweka hili bandiko, kanikatia mauno huyo utasema nyani kasingiziwa hehehehehhe
Hiyo fursa ningeipata mmasai ungemsahau jumla.
Hahahhahaha haya Kasie sina nenoHahahahaaa wait a minute........
Ukiwa unamuongelea mmasai unamaanisha nani? Mbona mie mnyamwezi na dadii wa Kasie ni msukuma?....
Unataka fursa ipi?
Kasie matata ujue bin mkorofi yachukua karne hivi kumhamisha hehehehheheehehheeh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ubora wako hadi naanza kuwa muoga.Abeeeeh. ....... umeniita. ..!!?
Maneno haya yamenifanya niwe na nguvu ya ajabu kukaribia huko[emoji23] [emoji23]Hahahahaaa wenyewe wanasemaga uoga wako ndo upitwavyo...... haya haina maneno maana wengine wanasemaga kunguru muoga hukimbiza mbawa zake.
Kasie Kasinde.
Maneno haya yamenifanya niwe na nguvu ya ajabu kukaribia huko[emoji23] [emoji23]
Ngoja niendelee.......
Wanasemaga hivii..... za kuambiwa changanya na zako hehehehehehehhee
Umenifikirisha na kunifanya nijiulize, hivi nguvu huwa zina toka wapi...!!!??
Na zinakuja kujeje mwilini... hadi unajitambua kwamba sasa nina nguvu....
Hahahaha hapo kwenye kujua wanasema kuna msisimko sijui wa moyo au wa mwili.
Ila lisemwalo lipo hama linakuja.
Wacha nidhibitishe mambo hayo ya wahenga. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya ukipata uthibitisho nami unishirikishe, vyema kuwajuza wenzio pindi upatapo maarifa.
Kwani ni lipi lililosemwa unalolisubiria kama walivosema wahenga? Aahahahahahahhahahahaaaa Kasie matata looh.