Kwa nini usiweke king'amuzi hicho chenye channels' za kikristoNa kwa nini wasiweke channels za kikristo? Kuna shida gani kuwapa audience yao choices? Coz najua nchi hii ina waumini wengi wa dini mbili, kwa nini wasiwaridhishe wakristo ili mtu asishawishike kuwa na ving'amuzi vingi.
Wengine wanalalamika utakuta hata king'amuzi chenyewe hawana, simnunue cha tingZa kikristo mbona zipo nyingi tu wakuu.
Kuna hizi.
WRM TV CHANEL NUMBER 1193.
AMEN TV CHANEL NUMBER 1192.
JWBroadcasting CHANEL NUMBER 1194.
MY RIGHTEOUS TV CHANEL NUMBER 1184.
Muvi EMMANUEL CHANEL NUMBER 1166.
QTV ZAMBIA CHANEL NUMBER 170.
ZOTE HIZI ZIPO OTHER TV CHANNELS. KTK KING'AMUZI CHA AZAMTV.
Sasa kwanini wasiziweke kama hizo nyingine zikaonekana, hizo ulizo sema si mpaka ufanye mautunduZa kikristo mbona zipo nyingi tu wakuu.
Kuna hizi.
WRM TV CHANEL NUMBER 1193.
AMEN TV CHANEL NUMBER 1192.
JWBroadcasting CHANEL NUMBER 1194.
MY RIGHTEOUS TV CHANEL NUMBER 1184.
Muvi EMMANUEL CHANEL NUMBER 1166.
QTV ZAMBIA CHANEL NUMBER 170.
ZOTE HIZI ZIPO OTHER TV CHANNELS. KTK KING'AMUZI CHA AZAMTV.
Hapo naona sijui dodo la kuwa official broadcast atachiaKwahiyo VPL ikidhaminiwa na bia hawataonyesha,huu ni ujinga kama ujinga mwingine tu,hufanyi dhambi hii ila nyingine unaipenda sana.
ipo mokoyo ipo katika category ya other channels, wacha bade nikidhibitisha ntakupa mrejesho kwa maana kila siku updates haziishiHaipo Azam