Mi nisingeweza fanya huu ujinga.

hata kama sijui kitu kuhusu ujenzi, nisingejenga hapa.


HATA MIMI NILISHANGAZWA NA UJENZI HUO KWANI MWAKA 2011 TU YALITOKEA MAFURIKO MAKUBWA KIASI CHA KUSABABISHA BARABARA KUFUNGWA NA WAKAZI WA BONDE LA MSIMBAZI WALIKIMBIA NYUMBA ZAO KWANI ZILIJAA MAJI HADI KWENYE MAPAA.
WAKATI HAWA MAKANDARASI WANAJENGA MIUNDO MBINU YA BARABARA YA MWENDO KASI, WAHANDISI WA JIJI PENDWA LA DSM WALIKUWA WAPI?
 
Dah.... Kuna tofauti kubwa sana kati ya eneo LA makazi na eneo Lisilo LA makazi[emoji12] [emoji12]
 
Ilikuwaje wakajenga majengo ya kudumu hapo na sio ya muda mfupi?
 
hata kama sijui kitu kuhusu ujenzi, nisingejenga hapa.

Kichekesho utasikia wataalam wetu tunafanya
1.Physibility study.
2.Environmental Impact Assessment.
3.Detail design.
4.Quality & Quantity survey.
Matokeo ndiyo hayo ahsanteni sana.
"Shikamoo wahandisi wa Bongo"
 
Mwenyezimungu hana mfano...hana mshirika...na huchukia DHULMA...na husimamia HAKI.
Yote papa hapa duniani...
ALLAH ndiye mjuzi.
 
Baada ya kuwaibia pesa hao wananchi unaweza kujenga hata baharini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…