kitalolo
JF-Expert Member
- Dec 4, 2006
- 1,827
- 708
Jamani mnatuharibia funga zetu khaa!!yani moyo umepiga paa!!
Mtoto kahumuka humuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuka!
Kama hao wapo wengi Yanga
Ana shepu ya kuwa Yanga huyo? Kama kusoma hamjui hata picha hamuoni kama hapo ni America Kusini, au mnafikiri hapo panafanana na Mtaa wa Twiga na Jangwani eeeeeh? Mmeona kuna uchafu kama wa mitaa yenu ileee.