Royal village ipo wapi.........?
Njoo Dar...nitakupeleka tukacheze kombolela huko
Wajameni ka-weekend ndo hako tupeane kampani basi, mimi niko kijiji cha royay(royal village) hapa nakaziakazia swaumu siunajua kwamwezi haka, please kampani mi..
Wewe ni Me au Ke?
kombolela ya usiku ama ya mchana?
sichezi na wewee sichezi na wewe
sichezi na wewee sichezi na wewe
Afu King'asti utakuwepo pale LEO TUPO HAPA leo!?? uje tuonane kuna mpango tuongee, ila Pou umwache nyumbani (Ukishasoma futa naogopa ban mie)
Oya Sherehe ya besidei tunafanyia wapi..!??
Ana mikono michafu, ana mikono michafuu....!!!
Afu The secretary habari yenu na Bishanga imeishia wapi..!??
Tunafanyia Mbeya,mtaa wa Jacaranda,KARIBU!
ID yako nyingine inaitwaje? Nimekushtukia..
ID yako nyingine inaitwaje? Nimekushtukia..