Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

I totally adore him....
Mbele yake nakuwa rojorojo ndembendembe....

This is Kasie singing for uncle Jujuu. ...

Oh woooow....you got killer moves Kasie.

You could make some noise on the Dancing with the stars show....
 
Oh woooow....you got killers moves Kasie.

You could make some noise on the Dancing with the stars show....

Hahahahahhahaaa uncle Jujuu knows Kasie for sure....
When it comes to performance on the dancing floor Kasie don't care any body's shit just explore the vocal from deep inside....

You remind me of this song... about the dancing floor....

Just think of Kasie on the dancing floor killing aThong Song.....

Kasie mahaba singing and dancing
 
Dikeleni.....
Unajua fisi huwa ananyemelea na kupenda nini...

Falsafika mie namahabatika. ....
hahah JJ atanitwanga risasi mwaka huu,naona ananifuatilia nyendo zangu. Embe dodo embe dodo limelala mchangani.............wa huba na mazoea uwe wangu wa milele..hahahah
 
Hahahaha loo Dilekeni nani kakuonesha mahali panapomuwashaga Kasie. ...

Shauri yako mi ntadondoka..... dodo dodo mzima mzima bin dodoso hehehee

Shauri yako nikidondoka kutoka mtini. ...

Kasie mahaba.
 
Habari zenyuuu nyotee,

Mahaba yamenidondokea hadi hii chemchem ya huu wimbo umetoka huko ndani ya sanduku la kumbukumbu na umfikie mahabat wa Kasie. ....

Mi nataka kuwa na wewee tuu....
Kuna watu wanachonga
Wanasema nimekupa limbwata.....
Watasema watachoka ujue Kasie bado nakupenda. ...

Halafu hako katoto kanakofokafoka hapo mwisho kananikoga hadi naegemea kwenye kochi. .....

Mmuah kwa mahaabaatt

Sioni sisikii.......

Kuna wimbo nimeutafuta
nimeukosa, nakumbuka maneno yake tuu.....

....unirumie rumie... ooh pesa
Nakulilia unipe.. ooh pesa
Unipeleke kwa baba a katu patia mali
Tufunge ooh ndoa ya wotee ... ooh pesa
Ndoa ooh ndoa ya wote ooh pesa
Mapenzi ooh mimi na wewe.....

(Sina hakika kama nimepata maneno ya wimbo ila unaimbwa hivo). Ataeupata naomba aniwekee hapa tafadhali.

Hatimaye nimeupata....

Kasie Mahaba bin hubatt.

Watu wananiita zobaaa.....
Wanasema eti umenirogaaa....

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kassie is back with a bang!
Leo umegusa penyewe sweetheart

- KANA -
 
Wee Kasie unajua seleka la dodo bivu liangukapo lenyewe mtini? Huku kwetu uswahilini ni vita,ni vile we umekulia upanga habari hizi muulize Sky Eclat hahahah.

Dodo livunjapo ungo,Ni vita mtaani,

Vijana tuna usongo,Alipendae matatani,

Dodo lina matunzo,Limeivia mtini,

Dodo lina vionjo,Ka Udi wa subiani,

Dodo halina tongo,Langara kama shani,

Si dogo kama ngogo,Kulitia Kinywani,

Ingawa sina gego,Kulinyonya natamani.

Dodo si ngodo,Kugombea uhayawani,

Nala kogo kwa mingo,Nikalifate mtini. Hahaha Kasie bin mahabat liache dodo mtini usiitutafutie shari sie
 
Watu wananiita zobaaa.....
Wanasema eti umenirogaaa....

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kassie is back with a bang!
Leo umegusa penyewe sweetheart

- KANA -

Hahahahaaa ......watasema watachoka
Kasie na uncle Jujuu wanabambaa....
Kasie na Mahabat wake na mahabat wake tuu.... (remix)

Karibuu

Enjoy your weekend.
 
Wee Kasie unajua seleka la dodo bivu liangukapo lenyewe mtini? Huku kwetu uswahilini ni vita,ni vile we umekulia upanga habari hizi muulize Sky Eclat hahahah.

Dodo livunjapo ungo,Ni vita mtaani,

Vijana tuna usongo,Alipendae matatani,

Dodo lina matunzo,Limeivia mtini,

Dodo lina vionjo,Ka Udi wa subiani,

Dodo halina tongo,Langara kama shani,

Si dogo kama ngogo,Kulitia Kinywani,

Ingawa sina gego,Kulinyonya natamani.

Dodo si ngodo,Kugombea uhayawani,

Nala kogo kwa mingo,Nikalifate mtini. Hahaha Kasie bin mahabat liache dodo mtini usiitutafutie shari sie

I just view your profile and see that you are from Kibiti. .... abruptly goose pimples appears on my skin and I started shivering......

It's so cold where I am right now that's why..... and I forgot to take my sweater and jackets.

Hahahahahhaa I drove you off the line eeh it's not because of your profile looh (joking)

Haya mie ndo nalala muda umeyoyoma, ngoja pakuche.

In a nutshell,Patricia says it all,hahahahah
 
In a nutshell,Patricia says it all,hahahahah

Hahahahahhahahaaa
Basi nakuandalia mlo lishe wa Kasie ule natumai hautakuwa sumu kwako....

Mapenzi aka mahaba aka Malovedove
Watu wanakohoa tuu
Koh koh koh.... hehheheh

Kasie mahaba.
 
Hahahahahhahahaaa
Basi nakuangalia mlo lishe wa Kasie ule natumai hautakuwa sumu kwako....

Mapenzi aka mahaba aka Malovedove
Watu wanakohoa tuu
Koh koh koh.... hehheheh

Kasie mahaba.
hhaahah Kasie tena,

Na kangayo jikoni,Chungu kinachemka,

Upawa Mkononi,Viungo unavikata,

Karibu jamvini,Tushibe ulivyopika

teh teh teh leo ni leo tutauona mpambanoo hahaha hii lishe ya kasie ni mlo wa kuongeza rutuba na kunguza stress mwilini,Mjukuu wa madiba sumu anaijulia wapi? Yeye ni mjuzi wa kupeti peti tuu
 
Weewee weewee.....
Shauri yako...., hivi.....
Hii sanaa ya mashairi umeipata wapi nami nijiunge kwayo ujuzi nijitunukie.

Si kwa mashairi hayo looh

Kasie mahaba.
 
Weewee weewee.....
Shauri yako...., hivi.....
Hii sanaa ya mashairi umeipata wapi nami nijiunge kwayo ujuzi nijitunukie.

Si kwa mashairi hayo looh

Kasie mahaba.
hahahahah Kasie siri za unyagoni mwiiko kuzimwaga hadharani,mafunzo haya hutolewa chumbani aka PM hya ukuje haraka
 
kale katoto unakosema wewe ndio alikuwa producer wao anaitwa Shirko, ni mkenya makazi mombasa
 
hawa akina berry white na black washakuwa watu wazima, ila berry white mtu wa chupa sana
 
Back
Top Bottom