Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

Huba Hubani

Penzi Penzini

Penda,Upendwa

Tenda Utendwe

Vumbi la Huba limetawala

Nionjeshe kidogo japo kisela hahaha Kasie nifungulie.
 
Habari zenyuuu nyotee,

Mahaba yamenidondokea hadi hii chemchem ya huu wimbo umetoka huko ndani ya sanduku la kumbukumbu na umfikie mahabat wa Kasie. ....

Mi nataka kuwa na wewee tuu....
Kuna watu wanachonga
Wanasema nimekupa limbwata.....
Watasema watachoka ujue Kasie bado nakupenda. ...

Halafu hako katoto kanakofokafoka hapo mwisho kananikoga hadi naegemea kwenye kochi. .....

Mmuah kwa mahaabaatt

Sioni sisikii.......



Kuna wimbo nimeutafuta
nimeukosa, nakumbuka maneno yake tuu.....

....unirumie rumie... ooh pesa
Nakulilia unipe.. ooh pesa
Unipeleke kwa baba a katu patia mali
Tufunge ooh ndoa ya wotee ... ooh pesa
Ndoa ooh ndoa ya wote ooh pesa
Mapenzi ooh mimi na wewe.....

(Sina hakika kama nimepata maneno ya wimbo ila unaimbwa hivo). Ataeupata naomba aniwekee hapa tafadhali.

Kasie Mahaba bin hubatt.



Ha ha ha ha nakapata hako kawimbo!!!!! kanaishia.................

Banisema mimi banisema mimi ooh mimi ooh mimi
Utakufa bure utakufa bure ooh bure ooh bure
 
Kuna mshkaji alinitembelea na mkewe, nikapiga huu wimbo kutoka collection yangu.

Ilibidi uzalendo umshinde aamke na kucheza na mkewe, ilikuwa poa sana.

Bonge la wimbo.
 
Huba Hubani

Penzi Penzini

Penda,Upendwa

Tenda Utendwe

Vumbi la Huba limetawala

Nionjeshe kidogo japo kisela hahaha Kasie nifungulie.

Hahahahaaa Dikeleniiii. .....
Umenikumbusha king kikii na wimbo wake huu....
..... napiga mayowe oohh
Naanza kulia maammaah
Huba eeeh fungua njia ooh
Kitoto cha anza tambaa. ....
Kasie weeh fungua njia ooh
Mahabat ataka tambaa....

Halafu naweka remix.....
Twende mbele sendemaa rudi nyuma sendemaa
Kushoto kulia sendemaa sendemaa ......

Remix ingine.....
Kasimbagoo Kasimbagoo kahukaa
Kasimbagoo Kasimbagoo kahukaa
Wee uka ukamwana ukalelo Kasimbagoo kahukaa hehehehhee sijui kama nimepatia mmatamshi.

Kasie mahaba matata looh.
 
Back
Top Bottom