Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

Fresh aisee nilikumiss kipindi fulani

Sent from my iDevice using Tapatalk

Nashukuru kunimiss nipoo nimejaa tele ila nikiwa fildi kukusanya dodoso ndo huwa napotea kidogo ili maji yasizidi unga nikaishia kunywa uji badala ya ugali hehehheee.

Wakati mwema hapo ulipo Jozee.
 
Ha ha ha ha nakapata hako kawimbo!!!!! kanaishia.................

Banisema mimi banisema mimi ooh mimi ooh mimi
Utakufa bure utakufa bure ooh bure ooh bure

Yaani umenikumbusha enzi zile daah acha tuu
Hahahahahahaaa
Kamziki katamuuu sana, hapo mahabat anasikia rahaa nnavomuimbia looh na deko juu.
 
Nashukuru kunimiss nipoo nimejaa tele ila nikiwa fildi kukusanya dodoso ndo huwa napotea kidogo ili maji yasizidi unga nikaishia kunywa uji badala ya ugali hehehheee.

Wakati mwema hapo ulipo Jozee.
Ouh asante sana aisee

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Kuna mshkaji alinitembelea na mkewe, nikapiga huu wimbo kutoka collection yangu.

Ilibidi uzalendo umshinde aamke na kucheza na mkewe, ilikuwa poa sana.

Bonge la wimbo.

Yaani wimbo wa kitambo na hausikiki tena redioni ila ukipigwa utajikuta tuu uso unavutika mashavu yanasogea pembeni na kuweka tabasamu bashasha, macho yanawika kusindikiza tabasamu na masikio yananyanyuka juu kidogoo kwa jinsi vinyweleo vilivyosisimsha ngozi.

Hata ningekuwa mimi ningewaunga mkono.
 
Embu ukoo.

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Habari zenyuuu nyotee,

Mahaba yamenidondokea hadi hii chemchem ya huu wimbo umetoka huko ndani ya sanduku la kumbukumbu na umfikie mahabat wa Kasie. ....

Mi nataka kuwa na wewee tuu....
Kuna watu wanachonga
Wanasema nimekupa limbwata.....
Watasema watachoka ujue Kasie bado nakupenda. ...

Halafu hako katoto kanakofokafoka hapo mwisho kananikoga hadi naegemea kwenye kochi. .....

Mmuah kwa mahaabaatt

Sioni sisikii.......



Kuna wimbo nimeutafuta
nimeukosa, nakumbuka maneno yake tuu.....

....unirumie rumie... ooh pesa
Nakulilia unipe.. ooh pesa
Unipeleke kwa baba a katu patia mali
Tufunge ooh ndoa ya wotee ... ooh pesa
Ndoa ooh ndoa ya wote ooh pesa
Mapenzi ooh mimi na wewe.....

(Sina hakika kama nimepata maneno ya wimbo ila unaimbwa hivo). Ataeupata naomba aniwekee hapa tafadhali.

Kasie Mahaba bin hubatt.

Karibu yangu - Tshala Muana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaaa Dikeleniiii. .....
Umenikumbusha king kikii na wimbo wake huu....
..... napiga mayowe oohh
Naanza kulia maammaah
Huba eeeh fungua njia ooh
Kitoto cha anza tambaa. ....
Kasie weeh fungua njia ooh
Mahabat ataka tambaa....

Halafu naweka remix.....
Twende mbele sendemaa rudi nyuma sendemaa
Kushoto kulia sendemaa sendemaa ......

Remix ingine.....
Kasimbagoo Kasimbagoo kahukaa
Kasimbagoo Kasimbagoo kahukaa
Wee uka ukamwana ukalelo Kasimbagoo kahukaa hehehehhee sijui kama nimepatia mmatamshi.

Kasie mahaba matata looh.
Hahaha hilo shangwe moyoni mwangu kama tupo Nang'wanda sijaona. Huba lako hilo Kasie latutekenya majirani,Kama u msafiri nyikani,Fisi yuko chogoni, Hahahah Yaan hizo lines za mwisho ni kama alikuwa anasema kasimbago kabuuka hahaha ndio nilikuwa naelewa hivyo yale matamshi sijui kama tu sahihi anwy wacha niendelee na falsafa ya fisi. Hahahahah
 
Hahaha hilo shangwe moyoni mwangu kama tupo Nang'wanda sijaona. Huba lako hilo Kasie latutekenya majirani,Kama u msafiri nyikani,Fisi yuko chogoni, Hahahah Yaan hizo lines za mwisho ni kama alikuwa anasema kasimbago kabuuka hahaha ndio nilikuwa naelewa hivyo yale matamshi sijui kama tu sahihi anwy wacha niendelee na falsafa ya fisi. Hahahahah

Dikeleni.....
Unajua fisi huwa ananyemelea na kupenda nini...

Falsafika mie namahabatika. ....
 
Aahahahahahahaaa acha niendelee kutabasamu na kucheka nizeeke kwa upendo na huba heheheheheheee

Huba linaendelea kw mahabat wangu...

Mahaba ya dhati yamenishukia
Nami Kasie nnavopenda kudekezwa.....
........ooooh kuliko mahaba hayaaa.....



Angalizo: Masikio yakikuwasha kamata unyoya wa kuku urembue macho si kubedua midomo na ulimi heheheheheheee.

Pia ukiona chungu tena.

Kasie Mahaba.
 
Dooh asalaleeh
Nani kamfanya afulie hivyo?
Na hivi ni domo zege.....

Monkey pie Nyani Ngabu ..... it's not me.....
I didn't say a thing...
By the way give hi 5 to uncle Jujuu
Mwambie Kasie anampa busuu
Mmmwaah! !

Kasie mahaba.

You love uncle Juju?
 
Back
Top Bottom