Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 26,719
- 98,900
Kasie lover loverHere she is...... well known as...
Kasie mahaba.
Kasie lover loverHere she is...... well known as...
Kasie mahaba.
Sio siri uliruka stage!
Muda huu Wa kukaa Na wajukuu Na kuwapa hadithi za visasili! we unaimba mahaba!
DJ sepetu
Pensheni magu kabana! Sema mnakula mtajiNipo Masee, Nanyondeka tuu na mahabat wangu tunazeeshana huku tunakula pension.
Assnte na karibuu nawe uburudike na mahabat wako.
Kasie lover lover
Nakutania kasie a piece of jokeHongera sana.
Sisi wahenga huwa tunasemaga. .....
Nimeghairi na kufuta nilichotaka kuandika.
Wacha niendelee na mahabat yangu.
Kasie mahaba.
Mrudishe Daby wa watu kwa uliempora!!.....wizi siyo mzuri!
Hapo sawa asee..Hahahahaaa umesahau Kasie ni kigagula pension tuliwekewa tangu enzi za JK..... sasa hivi tunazi tumia tuu.
Mtaji upo unajizalisha na kuingiza shekeli kupitia hati fungani.