Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

Mi Nataka Kuwa na Weewee tuu

Tobaaa. ....

Embe dodo hilo....
Hakuna namna dodo lisilo jua wala mvua,Iwe masika au Kiangazi. Dodo lapatikana msimu wote,Waja nijilie njaa initokee huhuhuhu hihihihi hahaha
 
Nimejikuta naimba makirikiri. .....
Je, Dodo lafaa kutengenezea achali?
 
Sio achali tu hata kachumbari,ila lisiwe kali. Liwe limekomaa,Likajua mlaji ataka ataka ladha kinywani Kasie miaka yote hiyo ya kukaa jikoni huna uzoefu na dodo
 
Hahahahhahaaa yaani wewee.....

Shauri yako wee haya hehehehehehee.

Ukubwa jalala matakata yote yametupwa humo hata ujuzi wa matumizi ya dodo umepotea. Wee nijuze tuu matumizi kedekede maana kupika napenda kuanzia mchemsho hadi kukarangiza shurti shatashata kama samaki wa kupaka.

Kasie mahaba.
 
Hahhaha we Kasie utundu ni asili yako. Mwembe wa kwako,Dodo zote kushoto na kulia,bila kusahau katikati pia,Umiliki upo kwako,leo tumfundishe popo kuruka usiku ila nakumbuka maneno ya babu labda yatakufaa "mjukuu wangu dodo haliliwi kavu kavu,shurti ulivue, maganda uyatoe,kinywani ulitie,Ulinyonye ladha uisikie,kisha mdomon ulitoe. Dodo lina kikokwa chenye utomvu kwa juu ladha ya dodo ipo pale,next time ktk mapishi lisikimbiliwe kupigwa kisu mgawane ladha hapo dodo mtakuwa hamjalitendea haki.(mwisho wa kunukuu). Hahaha najua jirani baada ya kisima kuna mwembe sindano,sasa pale ukimix na dodo pilipil wazimu,chumvi ya japani unapata biryani ya matunda. Teh teh teh
 
Wewee unajua watoto bado hawajalala. .... hahahaaaaa looh sikuwezi.

Halafu umetoka chumbani umesahau kuzima taa na umeacha mlango wazi. Rudi chumbani umalizie ambayo hukumalizia.

Simo mie hahahah hili ni wiki la ban. We endelea tu mie naenda zangu kulala sebuleni,Chumban kuna wageni leo
 
Hahahaaa Hahahaaaa
Wakikupa ban basi ntasusa kuimba hadi urudi... Hahahaaaa

Kasie mahaba.
 
Back
Top Bottom