mhhhhhh! yamenikuta washkaji zangu!

mhhhhhh! yamenikuta washkaji zangu!

Unajua kula bila kulipia.Ngoja wakuvune sasa
 
Whether she is 'just' a housegirl or not that is a child you slept with. And you have no damn business asking us what you should do. Pay the price of your evils. I hope the judge slaps your a.s.s with a long sentence so next time you will think twice. Idiot.
 
hivi kwani ana uri gani huyo binti? mimi sijaona ulipotaja umri wake lakini kuna wadau wasema ni mtoto ,wengine minor....hebu nipatie umri wake
 
ila ni mke wangu sio?
A%20S%208.gif
 
Story yako ina mchanganyiko wa sukari na chumvi.Bora tu ingeondolewa maana haina maana yoyote zaidi ya kupotezea wenye akili muda wao.
 
Oyo ni hivi chalii angu, huo apo msala tayari na kishanuka hicho.
Mi kamanda angu nakuaminia we si mtu wa mazali wala nini sema maza wa demu ako ndio sio mzuka kivileee.
We kama vipi muibukie huyo maza ukiwa na mtu mzima yotote halafu chonga naye ile kisela tu na umuombe msamaha....kama utakua kamili nenda hata na kiroba cha mchele na kuku jogoo ili maza asikinukishe...
Mwana wakikupeleka sentro pale mjini kati itakua msala halafu kitaa tutakukisa ujue....
Peace!!!!

Hii lugha uliyoitumia hapa ndugu yangu, mie nimeipenda...
 
First Born umeshakuwa ATM acha wachukue chao ili wakati mwingine uwe na akili,
kama mama mtu alikataa ulikuwa na kiherehere cha nini.

naomba ieleweke hivi! mie sijamkuta dem school, she was just house girl, issue za kuwa mwanafunzi ndo zina arise sa hivi!
 
Last edited by a moderator:
oyo niaje wakubwa,

hii issue ni jana tu imenikuta, ni baada ya kulala na demu 1 ambae ni house girl wa sister fulani huku A town,
anasemekana alitoroka kwa huyo bosi wake na kwenda kwa mzazi wake!
after there dem alinicoll niende kwake kumuona na baada ya kumuona akanipeleka hadi kwa mzazi wake (mama) ambae hana mume(baba wa binti) after story dem akamuomba maza wake amruhusu niende nae bt mum aligoma!
ni nilisepa lkn dem kafanya kichwa ngumu akamtoroka maza wake akanipigia simu nimpokee usiku wa saa nne!
SHUGHULI SASA!!!!!!!!
maza anadai mwanae ni mwanafunzi na kaleta noumer kwa aliekuwa boss wake na dem nikapigiwa nikasikilize eti kwamba mie ndo niliyemfanya akatoroka kwa huyo boss wake na maa mwenyewe anataka alifikishe suala polisi!!!!!!!!

hapa itakuaje?
nifanyeje watu wangu?

dear FB

Leo naona kama uelewa wangu ni mdogo! ngoja kwanza nifanye kazi za watu nitarudi baadae
 
oyo niaje wakubwa,

hii issue ni jana tu imenikuta, ni baada ya kulala na demu 1 ambae ni house girl wa sister fulani huku A town,
anasemekana alitoroka kwa huyo bosi wake na kwenda kwa mzazi wake!
after there dem alinicoll niende kwake kumuona na baada ya kumuona akanipeleka hadi kwa mzazi wake (mama) ambae hana mume(baba wa binti) after story dem akamuomba maza wake amruhusu niende nae bt mum aligoma!
ni nilisepa lkn dem kafanya kichwa ngumu akamtoroka maza wake akanipigia simu nimpokee usiku wa saa nne!
SHUGHULI SASA!!!!!!!!
maza anadai mwanae ni mwanafunzi na kaleta noumer kwa aliekuwa boss wake na dem nikapigiwa nikasikilize eti kwamba mie ndo niliyemfanya akatoroka kwa huyo boss wake na maa mwenyewe anataka alifikishe suala polisi!!!!!!!!

hapa itakuaje?
nifanyeje watu wangu?

dear FB

Hayatuhusu. Umbeya tu. Anzisha mada yenye mantiki. Kwa mawazo yako, unaona hii ni mada kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom