Mkuu, hapo ndipo nilishikwa na butwaa. Huu mchezo wa ku-control watu wa America wa kuwaonyesha TV za mji unao kaa tu na wakionyesha Habari za US nzima wandai ni world news, ni ukomunisti wa aina fulani.
Kaazi kwer kwer
Nchi gani inaazna na herifu ya U, jamaa anajibu aah I think is Utah, lol.
Nchi gani inaanza na herufi ya T, aaah I think is Tanga, hahahahaha ahaha a a
Kaazi kweli kweli
Mkuu kumbuka hata Sara Palin baada ya kushindwa kwenye kinyanyanyiro cha urais alipoulizwa angependa Obama ampe cheo gani akasema angependa awe balozi wa nchi iitwayo "Afrika". Kwa ujumla wazungu inaonekana jiografia na general knowledge inawapa taabu kidogo.
Nawaambia Watanzania wengi sana hawana tofauti na hao watu kwenye hiyo clip!
Hebu nendeni Manyoni muanze kuuliza maswali kama hayo muone majibu mtakayoyapata...
But they have access to schools and ''the better educational system''...aint that right?
Nawaambia Watanzania wengi sana hawana tofauti na hao watu kwenye hiyo clip!
Hebu nendeni Manyoni muanze kuuliza maswali kama hayo muone majibu mtakayoyapata...
Of all the places why manyoni? To compare people with at least high school diploma living in 1st World and people from Manyoni, in my opinion, it is not a fair comparison at all.
Bottomline ni kwamba, kila mtu ni mjinga wa kitu fulani kwa sababu maana ya ujinga ni kutojua au kutokufahamu. Toafuti yetu sisi na wao ukiweka ujinga pembeni ni kwamba wao wameweza kutumia vipaji vyao kuyamudu mazingira yao ili kurahisisha maisha yao. Kwa upande wetu sisi tumeshindwa! So who gets the last laugh?
I don't think this issue is about who gets the last laugh, but just to show their stupidity when it comes to simple issues on this planet. Name a country that begins with U...Utah, Yugoslavia...LOL! hahahahahahahahahah...Where is the Berlin Wall?....I am still thinking...LOL! Dude just say you don't know...hahahahahahahahahah
Have a great day Nyani π
lets just say the clip leaves me wondering
Nawaambia Watanzania wengi sana hawana tofauti na hao watu kwenye hiyo clip!
Hebu nendeni Manyoni muanze kuuliza maswali kama hayo muone majibu mtakayoyapata...
What they showed is not "stupidity". Stupid people don't enjoy a high standard of living like they do. What they showed was ignorance. Stupidity and ignorance are different. Unless one is stupid, he/she will not know the difference!
Have a wonderful day Bubu