Mhhh!! Irene Uwoya kuacha chuchu hivyo ni biashara au?

Napenda kutoa shukrani zangu za dhati kwa wote mliochangia kwenye hii sredi na asante sana kwa mleta uzi maana nimechekaaaaaaaa mpaka basi,naona kila saa nikikumbuka yaliyoandikwa hapa nitakua nakenua tuu.
Naona kuanzia hiyo tarehe 12-15 mimi nitaumwa kukosa JF jamaniiiiiii......hapa ni stress free zone yangu.
 
huyu poa tu ata akikaa uchi shwari, mbona kwenye movie zao tunaona zaidi ya hapo.kuna wadada kama Nancy Sumari angevaa hivyo labda ningeshangaa.
 
Kapendeza sanaaaaaaaaaa! Hongera zake, ningekuwa karibu ningempa japo msimbazi 1 ya pongezi!
 
Kumbe nilikuwa sijui huyu Irene ndio yule tuliekuwa nae mafleti ya Mbezi, masikini, jamani alionywa sana mapema lakini hakusikia, matokeo yake amekuwa malaya!
jamani mwenzenu nasikitika nakumbuka irene zamani!
Anyway, destiny za watu wanaumbwa nazo.
 
Duh Haika, comments zako full utata na very subjective.., Je umalaya wake ni hayo mavazi ?, wengine wanaweza kusema alivaa mshono ambao kwa bahati mbaya umeteleza labda aliyempiga picha ndio anamakosa na ni (peeping Tom)..

Hapo kwenye destiny za watu wanaumbwa nazo ndio kabisaaaa full utata...; wale wanaosema kwamba "Our Choices Today.., Determines who we are Tomorrow" sidhani kama wanadanganya.., Binadamu tuna choices kila siku za kubadilisha who we are.., and making wrong choices ni makosa yetu wenyewe and no one else.
 
Last edited by a moderator:
kapendeza ila ilikua si lazima sana aonyeshe sehemu kubwa ya nyonyoz kias hcho.ila da!kapendeza bana japo hayajajaa vzr
 
Hiyo tatoo inabidi ionekane au vipi? ki ukweli wanapendeza hongera zao!! wanaume acheni zenu hizo za "sizitaki mbichi hizi"

Hata tattoo nayo kaiga..... Aliyemwambia mzuri ndo alimdanganya..
 
Duh Haika, comments zako full utata na very subjective.., Je umalaya wake ni hayo mavazi ?, wengine wanaweza kusema alivaa mshono ambao kwa bahati mbaya umeteleza labda aliyempiga picha ndio anamakosa na ni (peeping Tom)..

Hapo kwenye destiny za watu wanaumbwa nazo ndio kabisaaaa full utata...; wale wanaosema kwamba "Our Choices Today.., Determines who we are Tomorrow" sidhani kama wanadanganya.., Binadamu tuna choices kila siku za kubadilisha who we are.., and making wrong choices ni makosa yetu wenyewe and no one else.

No sio mavazi haya, ila mie nilimjua zamani wakati bado mdogo anasoma, wakati waliompenda bado wanatafuta namna ya kumshepu akikua awe msichana wa kueleweka, walihangaika sana, sasa mie (nadhani niko nje) siku zote sikuwahi kulink kuwa irene uwoya maarufu, ndio yule msichana mrembo mtukutu kidogo wa enzi zilee mbezi.
Basi, nimeota tu picha yake mara ya kwanza, huwa siangalii sinema hizi, sikubahatika kupata kuona picha yake, hapa ndio nimeiona.
Ila pia napenda kuwa mtata, thanks for noting.
Pia nakubaliana nawe kuwa we make our choices, every instant, ila pia, there is a power above us. sometimes you just wonder why you are making the choice you know is not right and you hate yourself for doing it.
 
saiv naona kweli great thinkers wameisha jf. watu na akili zenu mnatumia muda wenu kumzungumzia uwoya!!!!. jaman mods fungeni hiz threads za kibwege kulinda heshima ya jf. otherwise, itakuwa kama facebook soon.
 
Pia nakubaliana nawe kuwa we make our choices, every instant, ila pia, there is a power above us. sometimes you just wonder why you are making the choice you know is not right and you hate yourself for doing it.
Nakubaliana na yote ila hapo why people makes choices they know its not right lakini wanafanya ni sababu ya mambo makuu mawili:-
  • Kwanza kabisa most of the times its easier doing the wrong thing.., yaani doing the right thing takes some energy and some doing while wrong choices are just easier.., you can just ignore something and let it be.., hence making the wrong choice (laziness), au lack of knowledge thinking the wrong choice is the right choice.
  • Pili sometimes ni temptations.., furaha ya muda mfupi inakufanya usiangalie long term, you just settle for short term
Nadhani hapo Haika utakubaliana na mimi...
 
Last edited by a moderator:
CIMG2488.JPG

nimelipenda.
ila inavyoonekana halitakuwa na ladha kutokana na kutumika sana
 
Back
Top Bottom