Usiandike vitu usivyojua Ali Mfuruki ni engineer tena kasoma ujerumani na Mengi kasomea mambo ya uhasibu UKa. anasema kuwa Watanzania wengi wasomi wanashidwa kutumia elimu yao kwa manufaa ya nchi.
b. anasema Watanzania wengi wana "MAPHDS" wanashindwa kutengeneza au kutoa mazawo ktk suara la kuwa na viwanda
c. anasema wasomo wengi WAMEBOBEA ktk elimu wanashindwa kuisaidi nchi.
Makosa
Muheshimiwa Raisi huna wasomi unao wafikiria wewe. Kuwa mbunifu sio lazima uwe na MAPHDS au UMEBOBEA ktk elimu . KWANI WATU wengi waliosoma sana elimu ya darasani (theory) WANAKUWA SIO WABUNIFU na wengi wao Wanaishia kufa masikini, wANAPENDA KUKUMBILIA SIASA KWANI ndio njia nyepesi ya kupata pesa za WIZI. nk.. ANGALIA watu kama Zuckerberg,Billgate, steven job(RIP),brendon,nk HAWANA MAPHDS LEO HII NDIO WANABADILISH MAISHA YA WATU DUNIANI.
Tanzania kuna watu kama Ally Mufuruki, bakhressa, mengi, na wengine wadogo wadogo sana kama Erick shigongo, kusaga, zadoki HAWANA HATA DIPLOMA WAMETENGENEZA KAZI ZAIDI YA WATU 70 KILA MMOJA , wamebadilisha maishA ya watu na familia zao. Na wanalipa kodi kuendeleza nchi hii masikini.
Asilimia 78 ya kazi marekanI ZINATENGENEZWA na makampuni binafi madogo madogo na yanachangia karibu asilimia 46 ya kodi. NDIO MAANA kila siku wanafundisha watoto wao elimu bora (theory +vitendo +life skills) hili wajasilia mali wazidi kuwa wengi hili wa isaidie marekani kwenda mbele. ANGALIA CHINA, JAPANI, UJERUMANI wana system hii pia YA KUONGEZA NA KUBOLESHA VIWANDA VIDOGO.
SOLUTION
1 TUACHE SIASA ZA KIZAMANI (WAPINZANI si maadui).
2. Wapinzania wasipinge kushinda hoja TUSAIDIANE NCHI NI YETU WOTE
3, Elimu yetu mbovu, imepitwa na wakati (acha kuamini MAPHDS kama unavyofikilia) amini vitendo kuliko midomo.
4. kATIBA MBOVU (unafanya kazi vizuri(nakupongeza) una ujasiri Zaidi ya nyerere. Lakini ukiondoka watarudia ya nyuma kwani katiba itawaruhusu kufanya maovu...TUBADILISHIE
5 VIWANDA VINAITAJI ELIMU Y A KITENDO (HATUNA), UMEME (HATUNA). MIUNDO MBINU (HATUANA) MITAJI (HATUNA) Ali mufuruki na wafanya biashara ambao wanajua wanafanya nini sio wana siasa NA WAPIGA DOMO WAMESHAURI HILI.
6. Tunaitaji life skills (tuingize kwenye elimu yetu kuanzia VIDUDU MPAKA VYUO VIKUU NA LAZIMA KILA MTU KUSOMA) NDIO MAANA HATUJUI TUNATOKA WAPI , TUPO WAPI TUNAKWENDA WAPI.. MIKELELE TU.
Usiandike vitu usivyojua Ali Mfuruki ni engineer tena kasoma ujerumani na Mengi kasomea mambo ya uhasibu UK
Hapana mkuu Hatutakiwi kutukana watu wala kulaumu vyama .. wote ni pamoja TUTAFUTE MAKOSA PAMOJA . kusaidiane mawazo, pamoja , tumsupport raisi wetu na VISIONS zake pamoja . TWENDE MBELE KAMA ELIMU INAVYOTUELEKEZA... tukifuata principles za elimu na kuomba MUNGU pamoja NA kusaidiana pamoja kuwa na moyo mmoja TUTAKUWA ZAIDI YA USA NA CHINAAdui wa taifa hili ni CCM. Over
Akiacha ubaguzi tutakuwa pamoja.Hapana mkuu Hatutakiwi kutukana watu wala kulaumu vyama .. wote ni pamoja TUTAFUTE MAKOSA PAMOJA . kusaidiane mawazo, pamoja , tumsupport raisi wetu na VISIONS zake pamoja . TWENDE MBELE KAMA ELIMU INAVYOTUELEKEZA... tukifuata principles za elimu na kuomba MUNGU pamoja NA kusaidiana pamoja kuwa na moyo mmoja TUTAKUWA ZAIDI YA USA NA CHINA
mkuu vipi, msomi kushindwa kutengeneza dripu ambalo ni elimu ya form six, hapo tatizo ni nani Muheshimiwa au waheshimiwa wasomi.
TATIZO sio raisi wetu.. kumbuka elimu yetu mbovu tangu kipindi cha NYERERE. WASOMI wetu ni product ya elimu mbovu.. nikiwa namaana hakuna vitendo ktk elimu yetu ndio maana tunashindwa kubadilish theory kuwa PRACTICAL..kukbuka hata masomo ya Art , biashara, jamii YANA PRACTICALS PIA Mfano mtu mwizi, mwongo, siomwaminifu, HATA AWE ANAVYETI GUNIA ZIMA HAJASOMA. tunafikilia elimu ni vyeti.. NDIO MAANA WALIOSOMA SANA HAWANA VITENDO... wamebaki midomo tuYeye mwenyewe m'bovu vile vile
a. anasema kuwa Watanzania wengi wasomi wanashidwa kutumia elimu yao kwa manufaa ya nchi.
b. anasema Watanzania wengi wana "MAPHDS" wanashindwa kutengeneza au kutoa mazawo ktk suara la kuwa na viwanda
c. anasema wasomo wengi WAMEBOBEA ktk elimu wanashindwa kuisaidi nchi.
Makosa
Muheshimiwa Raisi huna wasomi unao wafikiria wewe. Kuwa mbunifu sio lazima uwe na MAPHDS au UMEBOBEA ktk elimu . KWANI WATU wengi waliosoma sana elimu ya darasani (theory) WANAKUWA SIO WABUNIFU na wengi wao Wanaishia kufa masikini, wANAPENDA KUKUMBILIA SIASA KWANI ndio njia nyepesi ya kupata pesa za WIZI. nk.. ANGALIA watu kama Zuckerberg,Billgate, steven job(RIP),brendon,nk HAWANA MAPHDS LEO HII NDIO WANABADILISH MAISHA YA WATU DUNIANI.
Tanzania kuna watu kama Ally Mufuruki, bakhressa, mengi, na wengine wadogo wadogo sana kama Erick shigongo, kusaga, zadoki HAWANA HATA DIPLOMA WAMETENGENEZA KAZI ZAIDI YA WATU 70 KILA MMOJA , wamebadilisha maishA ya watu na familia zao. Na wanalipa kodi kuendeleza nchi hii masikini.
Asilimia 78 ya kazi marekanI ZINATENGENEZWA na makampuni binafi madogo madogo na yanachangia karibu asilimia 46 ya kodi. NDIO MAANA kila siku wanafundisha watoto wao elimu bora (theory +vitendo +life skills) hili wajasilia mali wazidi kuwa wengi hili wa isaidie marekani kwenda mbele. ANGALIA CHINA, JAPANI, UJERUMANI wana system hii pia YA KUONGEZA NA KUBOLESHA VIWANDA VIDOGO.
SOLUTION
1 TUACHE SIASA ZA KIZAMANI (WAPINZANI si maadui).
2. Wapinzania wasipinge kushinda hoja TUSAIDIANE NCHI NI YETU WOTE
3, Elimu yetu mbovu, imepitwa na wakati (acha kuamini MAPHDS kama unavyofikilia) amini vitendo kuliko midomo.
4. kATIBA MBOVU (unafanya kazi vizuri(nakupongeza) una ujasiri Zaidi ya nyerere. Lakini ukiondoka watarudia ya nyuma kwani katiba itawaruhusu kufanya maovu...TUBADILISHIE
5 VIWANDA VINAITAJI ELIMU Y A KITENDO (HATUNA), UMEME (HATUNA). MIUNDO MBINU (HATUANA) MITAJI (HATUNA) Ali mufuruki na wafanya biashara ambao wanajua wanafanya nini sio wana siasa NA WAPIGA DOMO WAMESHAURI HILI.
6. Tunaitaji life skills (tuingize kwenye elimu yetu kuanzia VIDUDU MPAKA VYUO VIKUU NA LAZIMA KILA MTU KUSOMA) NDIO MAANA HATUJUI TUNATOKA WAPI , TUPO WAPI TUNAKWENDA WAPI.. MIKELELE TU.
Mkuu huyu jamaa amekuwekea hii kitu hapo juu theory +vitendo +life skills.. Unaweza ukasoma ukawa na vyeti lakini inategemea umesoma elimu gani.. Mtoa maada amekuelewesha hapo juu , kuna tatizo kwenye elimu yetu na kifupi inahitaji reform maana watu wanasoma tu mpaka kuwa maprofesa lakini skills hakuna..
TATIZO sio raisi wetu.. kumbuka elimu yetu mbovu tangu kipindi cha NYERERE. WASOMI wetu ni product ya elimu mbovu.. nikiwa namaana hakuna vitendo ktk elimu yetu ndio maana tunashindwa kubadilish theory kuwa PRACTICAL..kukbuka hata masomo ya Art , biashara, jamii YANA PRACTICALS PIA Mfano mtu mwizi, mwongo, siomwaminifu, HATA AWE ANAVYETI GUNIA ZIMA HAJASOMA. tunafikilia elimu ni vyeti.. NDIO MAANA WALIOSOMA SANA HAWANA VITENDO... wamebaki midomo tu