Mheshimiwa rais Magufuli, leo nakukosoa

E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
408
Likes
264
Points
80
E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
408 264 80
  1. Anasema kuwa Watanzania wengi wasomi wanashidwa kutumia elimu yao kwa manufaa ya nchi.
  2. Anasema Watanzania wengi wana "PhDs" wanashindwa kutengeneza au kutoa mazawo ktk suara la kuwa na viwanda
  3. Anasema wasomi wengi Wamebobea katika elimu wanashindwa kuisaidi nchi.

Makosa
Mheshimiwa Raisi huna wasomi unaowafikiria wewe. Kuwa mbunifu sio lazima uwe na PhDs au umebobea katika elimu. Kwani watu wengi waliosoma sana elimu ya darasani (theory) wanakuwa sio wabunifu na wengi wao wanaishia kufa masikini, wanapenda kukimbilia siasa kwani ndio njia nyepesi ya kupata pesa za wizi. nk. Angalia watu kama Zuckerberg, Billgate, Steven Job (RIP), Brendon na wengine. Hawana PhDs leo hii ndio wanabadilisha maisha ya watu duniani

Tanzania kuna watu kama Ally Mufuruki, Bakhressa, Mengi, na wengine wadogo wadogo sana kama Erick Shigongo, Kusaga, Zadoki hawana hata diploma wametengeneza kazi zaidi ya watu 70 kila mmoja, wamebadilisha maisha ya watu na familia zao. Na wanalipa kodi kuendeleza nchi hii masikini.

Asilimia 78 ya kazi Marekani zinatengenezwa na makampuni binafsi madogo madogo na yanachangia karibu asilimia 46 ya kodi. Ndio maana kila siku wanafundisha watoto wao elimu bora (theory +vitendo +life skills) hili wajasiriamali wazidi kuwa wengi hili wa isaidie Marekani kwenda mbele. Angalia China, Japani, Ujerumani wana system hii pia ya kuongeza na kuboresha viwanda vidogo

SOLUTION
  1. Tuache siasa za kizamani (wapinzani si maadui).
  2. Wapinzani wasipinge kushinda hoja tusaidiane nchi ni yetu wote
  3. Elimu yetu mbovu, imepitwa na wakati (acha kuamini PhDs kama unavyofikilia) amini vitendo kuliko midomo.
  4. Katiba Mbovu (unafanya kazi vizuri(nakupongeza) una ujasiri zaidi ya Nyerere. Lakini ukiondoka watarudia ya nyuma kwani katiba itawaruhusu kufanya maovu. Tubadilishie
  5. Viwanda vinaitaji elimu ya kitendo (hatuna), umeme (hatuna). Miundo mbinu (hatuna) mitaji (hatuna) Ali Mufuruki na wafanya biashara ambao wanajua wanafanya nini sio wanasiasa na wapiga domo wameshauri hili.
  6. Tunahitaji life skills (tuingize kwenye elimu yetu kuanzia vidudu mpaka vyuo vikuu na lazima kila mtu kusoma) ndio maana hatujui tunatoka wapi , tupo wapi tunakwenda wapi.. Mikelele tu
 
J

jnhiggins

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Messages
1,256
Likes
672
Points
280
J

jnhiggins

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2014
1,256 672 280
a. anasema kuwa Watanzania wengi wasomi wanashidwa kutumia elimu yao kwa manufaa ya nchi.

b. anasema Watanzania wengi wana "MAPHDS" wanashindwa kutengeneza au kutoa mazawo ktk suara la kuwa na viwanda

c. anasema wasomo wengi WAMEBOBEA ktk elimu wanashindwa kuisaidi nchi.

Makosa
Muheshimiwa Raisi huna wasomi unao wafikiria wewe. Kuwa mbunifu sio lazima uwe na MAPHDS au UMEBOBEA ktk elimu . KWANI WATU wengi waliosoma sana elimu ya darasani (theory) WANAKUWA SIO WABUNIFU na wengi wao Wanaishia kufa masikini, wANAPENDA KUKUMBILIA SIASA KWANI ndio njia nyepesi ya kupata pesa za WIZI. nk.. ANGALIA watu kama Zuckerberg,Billgate, steven job(RIP),brendon,nk HAWANA MAPHDS LEO HII NDIO WANABADILISH MAISHA YA WATU DUNIANI.

Tanzania kuna watu kama Ally Mufuruki, bakhressa, mengi, na wengine wadogo wadogo sana kama Erick shigongo, kusaga, zadoki HAWANA HATA DIPLOMA WAMETENGENEZA KAZI ZAIDI YA WATU 70 KILA MMOJA , wamebadilisha maishA ya watu na familia zao. Na wanalipa kodi kuendeleza nchi hii masikini.

Asilimia 78 ya kazi marekanI ZINATENGENEZWA na makampuni binafi madogo madogo na yanachangia karibu asilimia 46 ya kodi. NDIO MAANA kila siku wanafundisha watoto wao elimu bora (theory +vitendo +life skills) hili wajasilia mali wazidi kuwa wengi hili wa isaidie marekani kwenda mbele. ANGALIA CHINA, JAPANI, UJERUMANI wana system hii pia YA KUONGEZA NA KUBOLESHA VIWANDA VIDOGO.

SOLUTION

1 TUACHE SIASA ZA KIZAMANI (WAPINZANI si maadui).
2. Wapinzania wasipinge kushinda hoja TUSAIDIANE NCHI NI YETU WOTE
3, Elimu yetu mbovu, imepitwa na wakati (acha kuamini MAPHDS kama unavyofikilia) amini vitendo kuliko midomo.
4. kATIBA MBOVU (unafanya kazi vizuri(nakupongeza) una ujasiri Zaidi ya nyerere. Lakini ukiondoka watarudia ya nyuma kwani katiba itawaruhusu kufanya maovu...TUBADILISHIE
5 VIWANDA VINAITAJI ELIMU Y A KITENDO (HATUNA), UMEME (HATUNA). MIUNDO MBINU (HATUANA) MITAJI (HATUNA) Ali mufuruki na wafanya biashara ambao wanajua wanafanya nini sio wana siasa NA WAPIGA DOMO WAMESHAURI HILI.
6. Tunaitaji life skills (tuingize kwenye elimu yetu kuanzia VIDUDU MPAKA VYUO VIKUU NA LAZIMA KILA MTU KUSOMA) NDIO MAANA HATUJUI TUNATOKA WAPI , TUPO WAPI TUNAKWENDA WAPI.. MIKELELE TU.
Usiandike vitu usivyojua Ali Mfuruki ni engineer tena kasoma ujerumani na Mengi kasomea mambo ya uhasibu UK
 
asubuhi sana

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Messages
1,368
Likes
892
Points
280
asubuhi sana

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2015
1,368 892 280
Sisi VIP ngoja tuwahi Seat
 
E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
408
Likes
264
Points
80
E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
408 264 80
Usiandike vitu usivyojua Ali Mfuruki ni engineer tena kasoma ujerumani na Mengi kasomea mambo ya uhasibu UK
HAWANA MPHDS.... bro.... nimefanya kazi na ali miaka 6 kama mwenye kampuni na boss wangu. U miss a point think deeply on this. Tumefika hapa kwa ajili ya watu wenye mawazo kama yako... I KNOW CHANGE IS HARD.. but YES WE CAN CHANGE
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,188
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,188 280
Adui wa taifa hili ni CCM. Over
 
E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
408
Likes
264
Points
80
E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
408 264 80
Adui wa taifa hili ni CCM. Over
Hapana mkuu Hatutakiwi kutukana watu wala kulaumu vyama .. wote ni pamoja TUTAFUTE MAKOSA PAMOJA . kusaidiane mawazo, pamoja , tumsupport raisi wetu na VISIONS zake pamoja . TWENDE MBELE KAMA ELIMU INAVYOTUELEKEZA... tukifuata principles za elimu na kuomba MUNGU pamoja NA kusaidiana pamoja kuwa na moyo mmoja TUTAKUWA ZAIDI YA USA NA CHINA
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,630
Likes
13,993
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,630 13,993 280
mkuu vipi, msomi kushindwa kutengeneza dripu ambalo ni elimu ya form six, hapo tatizo ni nani Muheshimiwa au waheshimiwa wasomi.
 
Medicci

Medicci

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Messages
556
Likes
895
Points
180
Medicci

Medicci

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2016
556 895 180
Yeye mwenyewe m'bovu vile vile
 
B

Babati

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2014
Messages
31,779
Likes
25,188
Points
280
Age
33
B

Babati

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2014
31,779 25,188 280
Hapana mkuu Hatutakiwi kutukana watu wala kulaumu vyama .. wote ni pamoja TUTAFUTE MAKOSA PAMOJA . kusaidiane mawazo, pamoja , tumsupport raisi wetu na VISIONS zake pamoja . TWENDE MBELE KAMA ELIMU INAVYOTUELEKEZA... tukifuata principles za elimu na kuomba MUNGU pamoja NA kusaidiana pamoja kuwa na moyo mmoja TUTAKUWA ZAIDI YA USA NA CHINA
Akiacha ubaguzi tutakuwa pamoja.
 
O

olyanu

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Messages
1,840
Likes
1,059
Points
280
O

olyanu

JF-Expert Member
Joined May 30, 2017
1,840 1,059 280
Mara ya mwisho kupimwa mkojo ni lini?
 
samurai

samurai

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2010
Messages
5,326
Likes
5,962
Points
280
samurai

samurai

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2010
5,326 5,962 280
mkuu vipi, msomi kushindwa kutengeneza dripu ambalo ni elimu ya form six, hapo tatizo ni nani Muheshimiwa au waheshimiwa wasomi.
Mkuu huyu jamaa amekuwekea hii kitu hapo juu theory +vitendo +life skills.. Unaweza ukasoma ukawa na vyeti lakini inategemea umesoma elimu gani.. Mtoa maada amekuelewesha hapo juu , kuna tatizo kwenye elimu yetu na kifupi inahitaji reform maana watu wanasoma tu mpaka kuwa maprofesa lakini skills hakuna..
 
E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
408
Likes
264
Points
80
E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
408 264 80
Yeye mwenyewe m'bovu vile vile
TATIZO sio raisi wetu.. kumbuka elimu yetu mbovu tangu kipindi cha NYERERE. WASOMI wetu ni product ya elimu mbovu.. nikiwa namaana hakuna vitendo ktk elimu yetu ndio maana tunashindwa kubadilish theory kuwa PRACTICAL..kukbuka hata masomo ya Art , biashara, jamii YANA PRACTICALS PIA Mfano mtu mwizi, mwongo, siomwaminifu, HATA AWE ANAVYETI GUNIA ZIMA HAJASOMA. tunafikilia elimu ni vyeti.. NDIO MAANA WALIOSOMA SANA HAWANA VITENDO... wamebaki midomo tu
 
FDR.Jr

FDR.Jr

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2008
Messages
1,339
Likes
101
Points
160
FDR.Jr

FDR.Jr

JF-Expert Member
Joined Jun 17, 2008
1,339 101 160
a. anasema kuwa Watanzania wengi wasomi wanashidwa kutumia elimu yao kwa manufaa ya nchi.

b. anasema Watanzania wengi wana "MAPHDS" wanashindwa kutengeneza au kutoa mazawo ktk suara la kuwa na viwanda

c. anasema wasomo wengi WAMEBOBEA ktk elimu wanashindwa kuisaidi nchi.

Makosa
Muheshimiwa Raisi huna wasomi unao wafikiria wewe. Kuwa mbunifu sio lazima uwe na MAPHDS au UMEBOBEA ktk elimu . KWANI WATU wengi waliosoma sana elimu ya darasani (theory) WANAKUWA SIO WABUNIFU na wengi wao Wanaishia kufa masikini, wANAPENDA KUKUMBILIA SIASA KWANI ndio njia nyepesi ya kupata pesa za WIZI. nk.. ANGALIA watu kama Zuckerberg,Billgate, steven job(RIP),brendon,nk HAWANA MAPHDS LEO HII NDIO WANABADILISH MAISHA YA WATU DUNIANI.

Tanzania kuna watu kama Ally Mufuruki, bakhressa, mengi, na wengine wadogo wadogo sana kama Erick shigongo, kusaga, zadoki HAWANA HATA DIPLOMA WAMETENGENEZA KAZI ZAIDI YA WATU 70 KILA MMOJA , wamebadilisha maishA ya watu na familia zao. Na wanalipa kodi kuendeleza nchi hii masikini.

Asilimia 78 ya kazi marekanI ZINATENGENEZWA na makampuni binafi madogo madogo na yanachangia karibu asilimia 46 ya kodi. NDIO MAANA kila siku wanafundisha watoto wao elimu bora (theory +vitendo +life skills) hili wajasilia mali wazidi kuwa wengi hili wa isaidie marekani kwenda mbele. ANGALIA CHINA, JAPANI, UJERUMANI wana system hii pia YA KUONGEZA NA KUBOLESHA VIWANDA VIDOGO.

SOLUTION

1 TUACHE SIASA ZA KIZAMANI (WAPINZANI si maadui).
2. Wapinzania wasipinge kushinda hoja TUSAIDIANE NCHI NI YETU WOTE
3, Elimu yetu mbovu, imepitwa na wakati (acha kuamini MAPHDS kama unavyofikilia) amini vitendo kuliko midomo.
4. kATIBA MBOVU (unafanya kazi vizuri(nakupongeza) una ujasiri Zaidi ya nyerere. Lakini ukiondoka watarudia ya nyuma kwani katiba itawaruhusu kufanya maovu...TUBADILISHIE
5 VIWANDA VINAITAJI ELIMU Y A KITENDO (HATUNA), UMEME (HATUNA). MIUNDO MBINU (HATUANA) MITAJI (HATUNA) Ali mufuruki na wafanya biashara ambao wanajua wanafanya nini sio wana siasa NA WAPIGA DOMO WAMESHAURI HILI.
6. Tunaitaji life skills (tuingize kwenye elimu yetu kuanzia VIDUDU MPAKA VYUO VIKUU NA LAZIMA KILA MTU KUSOMA) NDIO MAANA HATUJUI TUNATOKA WAPI , TUPO WAPI TUNAKWENDA WAPI.. MIKELELE TU.
Mie nina hili tu ambalo nikiwa na yako na.5 na.6 mengine hayo simooo
Popote pale mteja/mshitiri mkubwa ni serikali...Hivyo sasa serikali ianze kulipa madeni ya ndani...Ikuze mitaji iliyoyumba ktk biashara ndogndogo na serikali kama suppliers,service providers na wazalishaji wadogo....Sikosoi bali nashauri tu
 
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2015
Messages
8,630
Likes
13,993
Points
280
mitale na midimu

mitale na midimu

JF-Expert Member
Joined Aug 26, 2015
8,630 13,993 280
Mkuu huyu jamaa amekuwekea hii kitu hapo juu theory +vitendo +life skills.. Unaweza ukasoma ukawa na vyeti lakini inategemea umesoma elimu gani.. Mtoa maada amekuelewesha hapo juu , kuna tatizo kwenye elimu yetu na kifupi inahitaji reform maana watu wanasoma tu mpaka kuwa maprofesa lakini skills hakuna..
hiyo elimu inapatikana nchi gani mkuu.
au ni nadharia... ya mleta mada.

mimi naamini elimu ni sahihi ila kutokufanya ni maamuzi ya muhusika...
ukitembelea lab za vyuo utajua tunaweza, wanafunzi na maDR Wanafanya mambo makubwa ila yanaishia kwenye levo za maonyesho ya sabasaba.

veta wanafanya mambo makubwa na wengine wanajiajiri tunapata manufaa ya elimu zao.
Sioni msingi wa hoja ya huyu mdau labda atoe mfano wa nchi na mitaala, maana hizi elimu sio zetu zimetoka hukohuko tunakodhani wanaakili za kufuata formula hiyo mkuu.
 
E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
408
Likes
264
Points
80
E

Ekasi

JF-Expert Member
Joined Mar 23, 2017
408 264 80
TATIZO sio raisi wetu.. kumbuka elimu yetu mbovu tangu kipindi cha NYERERE. WASOMI wetu ni product ya elimu mbovu.. nikiwa namaana hakuna vitendo ktk elimu yetu ndio maana tunashindwa kubadilish theory kuwa PRACTICAL..kukbuka hata masomo ya Art , biashara, jamii YANA PRACTICALS PIA Mfano mtu mwizi, mwongo, siomwaminifu, HATA AWE ANAVYETI GUNIA ZIMA HAJASOMA. tunafikilia elimu ni vyeti.. NDIO MAANA WALIOSOMA SANA HAWANA VITENDO... wamebaki midomo tu

Thanks (Samurai).. Knowledge, ability, skills............Fanya research mwenywe angalia maprofesa wengi hapa home... Wamekalia politiki tu watoto wetu wanawajaza mitheory kibao wanawaprintia mivyeti.. Wako kibao mtaani mavyeti yana pauka.... Wape elimu kichwani... Let them implement in a real world..Bro..Tanzaniani itakuwa na maviwanda, manuclear na kila mtu atakuwa happy...Kama china
 
Forum statistics

Threads 1,249,422
Members 480,661
Posts 29,697,907