thanks (SAMURAI).. knowledge, ability, skills............fanya research mwenywe angalia maprofesa wengi hapa home... wamekalia politiki tu WATOTO WETU WANAWAJAZA MITHEORY KIBAO WANAWAPRINTIA MIVYETI.. wako kibao mtaani mavyeti yana pauka.... WAPE ELIMU KICHWANI... LET THEM IMPLEMENT IN A REAL WORLD..bro..tanzaniani itakuwa na maviwanda, manuclear na KILA MTU ATAKUWA HAPPY...KAMA CHINA
Wasomi wanaolalamikiwa hapo ni wale wa mlengo WA kushoto sio wale wasomi wa Ccm
Mfumo wa Elimu.mkuu vipi, msomi kushindwa kutengeneza dripu ambalo ni elimu ya form six, hapo tatizo ni nani Muheshimiwa au waheshimiwa wasomi.
Hapana mkuu Hatutakiwi kutukana watu wala kulaumu vyama .. wote ni pamoja TUTAFUTE MAKOSA PAMOJA . kusaidiane mawazo, pamoja , tumsupport raisi wetu na VISIONS zake pamoja . TWENDE MBELE KAMA ELIMU INAVYOTUELEKEZA... tukifuata principles za elimu na kuomba MUNGU pamoja NA kusaidiana pamoja kuwa na moyo mmoja TUTAKUWA ZAIDI YA USA NA CHINA
Solution number 7&8 ni mwiba kwa Solex. HAWAEZI
- Anasema kuwa Watanzania wengi wasomi wanashidwa kutumia elimu yao kwa manufaa ya nchi.
- Anasema Watanzania wengi wana "PhDs" wanashindwa kutengeneza au kutoa mazawo ktk suara la kuwa na viwanda
- Anasema wasomo wengi Wamebobea katika elimu wanashindwa kuisaidi nchi.
Makosa
Mheshimiwa Raisi huna wasomi unao wafikiria wewe. Kuwa mbunifu sio lazima uwe na PhDs au umebobea katika elimu. Kwni watu wengi waliosoma sana elimu ya darasani (theory) wanakuwa sio wabunifu na wengi wao Wanaishia kufa masikini, wanapenda kukimbilia siasa kwani ndio njia nyepesi ya kupata pesa za wizi. nk. Angalia watu kama Zuckerberg, Billgate, Steven Job (RIP), Brendon na wengine. Hawana PhDs leo hii ndio wanabadilisha maisha ya watu duniani
Tanzania kuna watu kama Ally Mufuruki, Bakhressa, Mengi, na wengine wadogo wadogo sana kama Erick Shigongo, Kusaga, Zadoki hawana hata diploma wametengeneza kazi zaidi ya watu 70 kila mmoja, wamebadilisha maisha ya watu na familia zao. Na wanalipa kodi kuendeleza nchi hii masikini.
Asilimia 78 ya kazi Marekani zinatengenezwa na makampuni binafsi madogo madogo na yanachangia karibu asilimia 46 ya kodi. Ndio maana kila siku wanafundisha watoto wao elimu bora (theory +vitendo +life skills) hili wajasilia mali wazidi kuwa wengi hili wa isaidie Marekani kwenda mbele. angalia china, Japani, Ujerumani wana system hii pia ya kuongeza na kuboresha viwanda vidogo
SOLUTION
- Tuache siasa za kizamani (wapinzani si maadui).
- Wapinzania wasipinge kushinda hoja tusaidiane nchi ni yetu wote
- Elimu yetu mbovu, imepitwa na wakati (acha kuamini PhDs kama unavyofikilia) amini vitendo kuliko midomo.
- Katiba Mbovu (unafanya kazi vizuri(nakupongeza) una ujasiri zaidi ya Nyerere. Lakini ukiondoka watarudia ya nyuma kwani katiba itawaruhusu kufanya maovu. Tubadilishie
- Viwanda vinaitaji elimu y a kitendo (hatuna), umeme (hatuna). Miundo mbinu (hatuana) mitaji (hatuna) ali mufuruki na wafanya biashara ambao wanajua wanafanya nini sio wana siasa na wapiga domo wameshauri hili.
- Tunaitaji life skills (tuingize kwenye elimu yetu kuanzia vidudu mpaka vyuo vikuu na lazima kila mtu kusoma) ndio maana hatujui tunatoka wapi , tupo wapi tunakwenda wapi.. Mikelele tu
Ali Mufuruki ni Engineer na ana Masters...Reginald Mengi ni Mhasibu, CPA holder na kwa sasa ana PhD...yan kwa sasa ni Dr.Reginald Mengi....labda akina Shigongo hao ndo wana akili na elimu za Kibashite!Ally Mufuruki, Bakhressa, Mengi, na wengine wadogo wadogo sana kama Erick Shigongo, Kusaga, Zadoki hawana hata diploma
Mkuu naona tumefanana sana mawazo.Hivi yeye na PhD yake ya korosho imesaidia nini taifa? Ajiulize kwanza yeye kalifanyia nini taifa zaidi ya hasara alizoleta.
Usiandike vitu usivyojua Ali Mfuruki ni engineer tena kasoma ujerumani na Mengi kasomea mambo ya uhasibu UK
Mkuu umeandika vizuri, lakini kumbuka kwenye awamu hii tumeshaambiwa dereva anajua anakutupeleka, sasa tutasaidiaje mawazo kama dereva hasikilizili la mtu?Hapana mkuu Hatutakiwi kutukana watu wala kulaumu vyama .. wote ni pamoja TUTAFUTE MAKOSA PAMOJA . kusaidiane mawazo, pamoja , tumsupport raisi wetu na VISIONS zake pamoja . TWENDE MBELE KAMA ELIMU INAVYOTUELEKEZA... tukifuata principles za elimu na kuomba MUNGU pamoja NA kusaidiana pamoja kuwa na moyo mmoja TUTAKUWA ZAIDI YA USA NA CHINA
FactMkuu huyu jamaa amekuwekea hii kitu hapo juu theory +vitendo +life skills.. Unaweza ukasoma ukawa na vyeti lakini inategemea umesoma elimu gani.. Mtoa maada amekuelewesha hapo juu , kuna tatizo kwenye elimu yetu na kifupi inahitaji reform maana watu wanasoma tu mpaka kuwa maprofesa lakini skills hakuna..
Usiandike vitu usivyojua Ali Mfuruki ni engineer tena kasoma ujerumani na Mengi kasomea mambo ya uhasibu UK