Interested Observer
Platinum Member
- Mar 27, 2006
- 4,984
- 7,887
Mwiba, That is what we expect from a man of Lipumba status; he spoke the language!Hongera Lipumba umekata kichwa kingine.
Mwiba, That is what we expect from a man of Lipumba status; he spoke the language!Hongera Lipumba umekata kichwa kingine.
Anzisheni mahakama ya kikiristu ,kama mna sheria au sheria zake mnazijua tuone kama mna ubavu ,afu sijui kama mtazifuata maana hamjazizoea na wala sijaona kanisa linazifundisha ,sasa ugonvi upo wwapi? Au rudini katika misitu ya Kongo huko historia inaeleza ndipo wengi mlipotokea ,si raia wa pande hili la Tanzania au sivyo.
Hakuna ushahidi wowote kwamba nchi inasambaratika kwa sababu ya Kikwete. Tatizo si Rais, ni FREEDOM iliyopo sasa hivi. Zamani wakati wa Nyerere, Makanisa na Wakristo walikuwa na sauti kubwa kuliko Waislamu. Waislamu wengi hawakupata nafasi za kusoma nje ya nchi au kuongoza Taifa letu. Hali ya kimaisha ya Waislamu ilianza kubadilika wakati wa Mwinyi. Waislamu wengi wameweza kusoma na kupata nafasi za kuongoza Taifa letu. Kwa mujibu wa takwimu nyingi zinaonyesha kwamba Waislamu ni wengi zaidi kuliko dini yoyote ndani ya Tanzania. Sasa hivi tunaona hayo ktk uchaguzi nyingi ambazo madiwani ni Waislamu au katibu kata ambao pia ni Waislamu. Mabadiliko haya yanaonyesha kwamba Waislamu watakuja kudominate ktk kila kona ya siasa, biashara, kazi nk. Mabadiliko haya yamewafanya hadi Makanisa kuanza kumlaumu Rais; hata hivyo Rais hana uhusiano wowote na udini ktk uongozi wake. Zipo njia nyingi za kutatua haya matatizo.
mko more concerned na Mahakama ya kadhi kuliko ile anti terrorism law ambayo imekunyanganyeni liberty zenu zote kama binadamu
mnakazi kweli kweli nyie
Ukisoma madrassa tabu tupu! Kila wakati unafikiria unaonewa na unataka ubebwebebwe tu! Mliomba ardhi wapi mkanyimwa kujenga angalau chuo kikuu kimoja ukiachilia ile 'asante Mkapa' ya pale Morogoro? Maendeleo hayaji kwa kulalamika, jengeni shule zishindane na za kikristo kama mtaweza, hospitali zitoe huduma nzuri kama za kikristo ambazo hata za serikali hazisogezi pua hapo! Mnachofikiria kila kukicha ni Mahakama za Kadhi ambazo ni utatuzi wa migogoro ya ndoa na talaka (sijui tena kama mtamalizana kwa mawe hapo) na mirathi tu na umatonya kwa OIC!
Jamani hoja hapa si mahakama ya Kadhi tuu,ILA ni mkanganyiko wa uongozi dhidi ya dini na watanzania??Hakujawepo kigezo cha dini moja watu kubaguliwa iwe kwenye uongozi ,shule au madaraka.Iweje awamu hii jambo hili lijipambanue kiasi hiki ?Kwamba dini fulani waliwekwa nyuma sasa ni wakati wao kuwekwa mbele na kupewa vipau mbele ili hali hata kama sifa hawana!! Wenzetu hawa kila linapotokea hili wanadakia tuu bila kuchanganua historia ilikaaje?Mitizamo inapokinzana na Kiongozi Mkuu anaegemea huko alikotoka hatua itakayofuata ni mbaya.Sasa kelele kila upande yeye amefumba masikio kwa udhaifu wa kufanya maamuzi ya msingi!!Hata kama haitatokea kipindi chake lakini ajue chimbuko lake amelikuza kwa kiasi kikubwa kwa kujikalia kimya kihasara.
Kiongozi mahiiri ni yule aonaye mbele miongo mingi ijayo.Lakini ukimkuta kiongozi anaangalia miaka miwili mitatu mbele,anaangalia wale wanaomzunguka wakati huo,shangazi ,wajomba,marafiki na wapenzi basi huyo anataka kuoona ukomo wa Taifa akiwa hai,Na kwa hali hiyo Kiongozi huyo hatufai kamwe.Shime watanzania leo tunazungumza uislamu na Ukristo kesho tutawazungumza kina John na Bakari,Pindi tutaanza kutumia maneno na misamiati ya kunolea mapanga ,simme na visu.Hiyo ndiyo TANZANIA tunayoitarajaia kwa kumuachia mtu mmoja afanye atakavyo.MUNGU UTUNUSURU ,MUNGU UTUSAIDIE kuamka usingizini tuliko.
WaTz kamwe hatubaguani kwa dini. Unalihusishaje kanisa na masuala ya mahakama ya kidini?
Mheshimiwa Rais nchi inasambaratishwa na udini, chanzo kikiwa ilani ya uchaguzi wa chama chako cha CCM kilichoingiza mambo ya udini katika ilani ya uchaguzi, Mh rais. wewe hauioni hatari hii?
Uliapa hadharani kuilinda katiba ya nchi inayokataza udini, itetee sasa. Mh. rais bora ukose kura kuliko nchi isambaratike mikononi mwako. Mh. rais wewe uliomba kuwa rais kwa ridhaa yako ili uongoze nchi, sasa ongoza nchi, suala la kusambaratika kwa nchi siyo dogo. Toa uongozi unaoendana na katiba uliyoapa kuilinda. Nchi hii ni ya watanzania wote, dini mbalimbali na makabila mbalimbali, wote tuko sawa. Rudisha umoja wa watanzania, ulioapa kuulinda, Linda katiba, na vizazi vya watanzania vitakukumbuka daima. Vinginevyo mheshimiwa rais, utakumbukwa kwa kusababisha nchi kusambaratika kwa sababu ya udini ambao umeletwa na chama chako.