umeshauriwa [HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG] .Ndg mheshimiwa Rais:
Naandika haya nikijua fika vyama vya wafanyakazi havina msaada wowote katika kutetea maslahi ya Watumishi.
Mheshimiwa Rais,
Je,
1.Ni lini serikali yako itapandisha madaraja watumishi wa umma?
2.Ni lini serikali yako itaweka nyongeza ya mshahara kwa watumishi?
3.Ni lini utaruhusu uhamisho kwa watumishi wa umma?
Haya ni motisha kwa wafanyakazi.
Kama pesa hakuna,
Serikali iseme itaeleweka.
Pia issue ya uhamisho haihitaji pesa Mh Rais, kwa nini usiruhusu?
Kivip yanimtaishi kama mashetani !kumbuka hii kauli
Acha kuleta hoja za kipuuzi. Hivi wewe ni mtumishi wa umma kweli. Unajua taratibu za promotion. Hebu tuambie ulijaza opras lini? Pia unajua taratibu za kudai maslahi yako. Ukijua hayo utatambua wewe sio mtumishi wa umma. Acheni kuzungumzia vitu msivyovijua. Unadai uhamisho hizi taratibu za uhamisho unazijua ama unalalama tu. Acheni siasa ongeeni uhalisiaNdg mheshimiwa Rais:
Naandika haya nikijua fika vyama vya wafanyakazi havina msaada wowote katika kutetea maslahi ya Watumishi.
Mheshimiwa Rais,
Je,
1.Ni lini serikali yako itapandisha madaraja watumishi wa umma?
2.Ni lini serikali yako itaweka nyongeza ya mshahara kwa watumishi?
3.Ni lini utaruhusu uhamisho kwa watumishi wa umma?
Haya ni motisha kwa wafanyakazi.
Kama pesa hakuna,
Serikali iseme itaeleweka.
Pia issue ya uhamisho haihitaji pesa Mh Rais, kwa nini usiruhusu?
Siku ukiwa tayari niambie nikupeleke magogoni.ukatoe dukuduku lako.Ndg mheshimiwa Rais:
Naandika haya nikijua fika vyama vya wafanyakazi havina msaada wowote katika kutetea maslahi ya Watumishi.
Mheshimiwa Rais,
Je,
1.Ni lini serikali yako itapandisha madaraja watumishi wa umma?
2.Ni lini serikali yako itaweka nyongeza ya mshahara kwa watumishi?
3.Ni lini utaruhusu uhamisho kwa watumishi wa umma?
Haya ni motisha kwa wafanyakazi.
Kama pesa hakuna,
Serikali iseme itaeleweka.
Pia issue ya uhamisho haihitaji pesa Mh Rais, kwa nini usiruhusu?
Acha kuleta hoja za kipuuzi. Hivi wewe ni mtumishi wa umma kweli. Unajua taratibu za promotion. Hebu tuambie ulijaza opras lini? Pia unajua taratibu za kudai maslahi yako. Ukijua hayo utatambua wewe sio mtumishi wa umma. Acheni kuzungumzia vitu msivyovijua. Unadai uhamisho hizi taratibu za uhamisho unazijua ama unalalama tu. Acheni siasa ongeeni uhalisia

We utakuwa mfanyakazi hewa.Acha kuleta hoja za kipuuzi. Hivi wewe ni mtumishi wa umma kweli. Unajua taratibu za promotion. Hebu tuambie ulijaza opras lini? Pia unajua taratibu za kudai maslahi yako. Ukijua hayo utatambua wewe sio mtumishi wa umma. Acheni kuzungumzia vitu msivyovijua. Unadai uhamisho hizi taratibu za uhamisho unazijua ama unalalama tu. Acheni siasa ongeeni uhalisia
Kosa walilloanya viongozi wa zamani ni kutoweka usawa wa mishahaara. Haiwezekani afisa utawala wa TBS apewe mshahara ambao ni Mara tano ya mshahara wa afisa wa utawala wa wizara ya viwanda. Hiyo inaondoa morale kwa watumishi wa umma.