The Hyper
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,719
- 981
Ndg mheshimiwa Rais:
Naandika haya nikijua fika vyama vya wafanyakazi havina msaada wowote katika kutetea maslahi ya Watumishi.
Mheshimiwa Rais,
Je,
1.Ni lini serikali yako itapandisha madaraja watumishi wa umma?
2.Ni lini serikali yako itaweka nyongeza ya mshahara kwa watumishi?
3.Ni lini utaruhusu uhamisho kwa watumishi wa umma?
Haya ni motisha kwa wafanyakazi.
Kama pesa hakuna,
Serikali iseme itaeleweka.
Pia issue ya uhamisho haihitaji pesa Mh Rais, kwa nini usiruhusu?