bitaly athumani
Senior Member
- Aug 21, 2015
- 158
- 90
Avha kujifanya wewe ndio serikali.Acha kuleta hoja za kipuuzi. Hivi wewe ni mtumishi wa umma kweli. Unajua taratibu za promotion. Hebu tuambie ulijaza opras lini? Pia unajua taratibu za kudai maslahi yako. Ukijua hayo utatambua wewe sio mtumishi wa umma. Acheni kuzungumzia vitu msivyovijua. Unadai uhamisho hizi taratibu za uhamisho unazijua ama unalalama tu. Acheni siasa ongeeni uhalisia