Geniustin
JF-Expert Member
- Mar 15, 2013
- 4,379
- 2,825
Hujui unachoongea aisee...poor youWewe unaongea theory na sio uhalisia. Umepandishwa daraja halafu ukarudishwa mshahara wa zamani hivi unaelewa unachoongea ama uliandika ukiwa umesahau unachoongelea. Kwa kawaida idara na taasisi za serikali zinapofanya promotion lazima zisibitishwe na utumishi. Maybe ulikuwa hujafikia vigezo vya kupandishwa cheo. Na ofisi unayofanyia kazi bado wanafanya kwa mazoea. Kwa kawaida kabla hujapewa barua ya kupandishwa cheo lazima ofisi huska wapate uthibitisho kutoka UTUMISHI. Kama ulipewa barua bila uthibitisho hapo kuna shida.