![]()
Kipanya noma!
Duuuh haina ladha ikiwa recorded....
Hakuna cha kuogopa hapa anasema ukweli mtupu...keep it up kipanya!!!!Shame ndungai na bi mkora kwa kulibaka bungeNachojiuliza kila siku hivi huyu kipanya hawaogopi hawa wakulu???
wanaona hii hali imekaribia hivyo wanakwepa aibu ya kupigwa ukumbini ndio maana waleta hoja za ku-edit kwanzaMakinda chukua mfano hapa! Hii ilikua Ukrein Spika anakingwa na Miavuli tafakari nini kilitokea!
![]()