Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,020
- 577
Always I've been impressed by the work done in any Ministry where Dr. John Pombe Magufuli has been a Minister. The guy is focus and wants Tanzania to move ahead. However, his personal hatred towards the opposition political parties makes me sick. Now if he becomes President or PM of the Republic with the swipping state powers in his hands would he not turn into a dictator? I'm yet to be convinced otherwise.
Mwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani Mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana John Pombe Magufuli awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama sio sasa kwa sababu za taratibu za CCM, basi zamu inayofuata.
Vyovyote iwavyo, naamini huyu bwana anafaa kila kona uwanjani anapocheza siasa. Hata PhD aliyoipata majuzi inaongezea chachandu tu, kwamba hatababaishwa na vyeti vya udaktari wa kupewa zawadi tu, maana anayo real one.
Sina uhusiano naye kabisa huyu mtu na wala sijawahi kukaa naye au kuonana karibu, lakini vitu vyake mwisho bwana. Naamini atachagua timu ya washauri inayofanana naye. Hata kama anayo mapungu yake kama binadamu, the good outways the bad, wakati mwingine analazimika kufanya vitu vingine kwa kuwatii wakubwa zake, lakini akishika rungu mwenyewe nashawishika (sidanganyiki) kwamba ataifaa Tanzania ya sasa.
Leka
Wewe ndugu una akili sana.wazo lako ni 100++ naliunga mkono.Mwenzenu napata taabu kidogo, sijui jinsi gani Mheshimiwa huyu ashawishiwe na kukubali ombi hili. Natamani sana John Pombe Magufuli awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kama sio sasa kwa sababu za taratibu za CCM, basi zamu inayofuata.
Vyovyote iwavyo, naamini huyu bwana anafaa kila kona uwanjani anapocheza siasa. Hata PhD aliyoipata majuzi inaongezea chachandu tu, kwamba hatababaishwa na vyeti vya udaktari wa kupewa zawadi tu, maana anayo real one.
Sina uhusiano naye kabisa huyu mtu na wala sijawahi kukaa naye au kuonana karibu, lakini vitu vyake mwisho bwana. Naamini atachagua timu ya washauri inayofanana naye. Hata kama anayo mapungu yake kama binadamu, the good outways the bad, wakati mwingine analazimika kufanya vitu vingine kwa kuwatii wakubwa zake, lakini akishika rungu mwenyewe nashawishika (sidanganyiki) kwamba ataifaa Tanzania ya sasa.
Leka
Augustino Lyatonga Mrema alikuwa kama huyu bwana, kasoro tu yeye hakuwa na PHD. Alipoutaka uraisi tu, akaishia hapa alipo leo hii
Magufuli can better be appreciated for what he has so far done, and should not be honoured for what he can do in the future, bacause that will spoil his excelent perfomance so far!
I will vote for Pinda, for the honour of Mwalimu!