Jamaa yupo Bungeni analeta habari zile zile za kila siku: (Waziri Malima)

Ukosekanaji wa mafuta (wasambazaji kugoma)

mvua

gesi

matengenezo

Story zile zile za kila siku..., hakuna jipya hapa.., Pia kama kawaida anaitupia lawama Tanesco kwamba haikuwaambia wananchi ni nini kilichokuwa kinaendelea..... (bure kabisa hawa watu)...

Eti matatizo mengi yametokea kwa wakati mmoja.., hivi hawa wasambazaji waligoma lini?? na huu mgao umeanza lini?
MR. Rocky ni vema tutambue kuwa winners do not do different things but they do things differently.Mkuu nakuunga mkono na hili ndio tunapaswa tufanye mabadiliko sio kwa njia ya kupiga tuu kelele ambazo washirika wa upende wa pili hata haziwaumizi, wao wanaendeela kupokea ten percent zao na hali inaendelea kuwa ile ile naona sasa muda wa kufanya kile watawala hawataki umefika wa kutetea haki zetu na kupata kile ambacho tunakitaka kwa ajili ya kusaidia Tanzania ambayo inalemaa na kuendelea kudidimia
Nawewe umeingia kwenye mkumbo uleule wakushindwa kutoa mapendekezo sustainable na kwahiyo huna mchango wowote, ni bora hata waliopendekeza serikali ya walafiki ibwage manyanga.GreatThinkers,

Plan C ni kurevise Uhalali wa Si Si Em kubaki madarakani

Thats all
ikiwa kama kila jambo solution ni kuing'oa CCM madarakan bas uwezo wetu wa kuchambua na kuyatatua matatizo utakuwa umefika mwisho.
Hebu tuache UTOPIAN ideas na tuje na implementable suggestions.
Dharura gani tutaihandle kwa kuchange the whole system? Tunafikiri kisawasawa kweli? Hata kama CDM tukaingia mtaani kuchukua dola leo, tutaipata kabla ya december? Tutatatua matatizo haya kwa wakati? Hebu tutoe mapendekezo sustainable.
Mi nadhan tuitishe harambee ya kitaifa kupata fedha ya kununua mafuta. Kampeni hii iratibiwe na cdm kwa umahiri mkubwa, na hakika huu utakuwa mtaj mkubwa kuelekea 2015 elections.
Hayo maposho ya makalio kwa mwaka mmoja tu yangeondoa adha ya kukodikodi mitambo.
MR. Rocky ni vema tutambue kuwa winners do not do different things but they do things differently.
Tusiunge mkono tu kila tunachoona kwa mara ya kwanza kuwa chafaa.
Gharama yake ni kubwa kuliko unavyofikiria. Nadhan tuangalie njia ambazo hazitatumiza hata sisi wenyewe.
Umenena vema mkuu. Hebu upinzani uoneshe sasa kuwa upo kama serikali mbadala. Usimamie utatuzi wa hizi kero tusiziachie NGOs.Mkuu kwa namna yoyote siungi mkono njia ambazo tukizitumia zitatuletea madhara makubwa na kutuumiza. Ningependa njia ambazo kila mmoja anajua wajibu wake na anautelekeza wajibu wake kwa kadri ya uwezo wake bila kumuumiza mtu yoyote au kuingia gharama ambazo zitakuwa zinatuumiza kwa kizazi chetu.

Njia za amani za kufanya jambo lifanyike na sio njia za fujo zitakazotuachia makovu mengi sana
Very true mkuu hata kama hata hao waheshimiwa hawataki kutoa pesa zao hivi unadhani kuna mtanzania ambae angekataa kutoa harambee na kuchangia alichonacho..?!!!

Sababu pekee ambayo hatujaenda this route ni sababu tungefanya hivi watu wasingepata 10%; hivi hata upinzani kweli wangeshindwa kuonyesha good gesture kwa kusema tunawaletea mitambo hii wananchi wetu ili kuondoa hili balaa!!??

Kuna mambo mengi sana ambayo upinzani wanaweza kufanya kama publicity na ambayo itawajengea sifa maradufu.., lakini nashangaa kwanini hawafanyi!!!

Mkuu kwa namna yoyote siungi mkono njia ambazo tukizitumia zitatuletea madhara makubwa na kutuumiza. Ningependa njia ambazo kila mmoja anajua wajibu wake na anautelekeza wajibu wake kwa kadri ya uwezo wake bila kumuumiza mtu yoyote au kuingia gharama ambazo zitakuwa zinatuumiza kwa kizazi chetu.

Njia za amani za kufanya jambo lifanyike na sio njia za fujo zitakazotuachia makovu mengi sana
Mkuu mi ntaendelea kupinga hili suala kwa nguvu zote kabisa....Haiwezekani kumchangisha mwananchi,tena masikini ambaye kila uchao analipa kodi( ili aweze kupata huduma na kuendesha taifa hili) eti ashiriki kuwafunza hao mabwenyenye!HII HAPANA....
Na hapa wapinzani chochote watakachofanya positive hivi sasa kuondoa shida kwa mwananchi itakuwa ni mtaji wao kuhakikisha uchaguzi ujao wananchi wanakuwa na imani zaidi nao, na sio mpaka watoe pesa zote wanaweza tu kuonyesha mfano na kuwa mstari wa mbele kuwaongoza wananchi kuhakikisha hii shida inaondoka.. (mfano kusema posho zao za miezi mitatu ziende kwenye kuondoa haya matatizo)Na hao wapinzani unaowazungumzia hawakusanyi kodi,watatoa wapi hizo fedha kununulia ama kukodi mitambo?Si ndo watasema yaleyale ya kufadhiliwa na mataifa ya magharibi ili kuing'oa serikali?Cha msingi hapa ni kuzidi kuwabana kwa nguvu zote hawa wanaokusanya kodi zetu na kushindwa kutatua matatizo yetu,ili watimize wajibu wao....KAMA HAWASIKII/HAWATAKI(kama inavyodhihirika sasa),TUWANG'OE KWA NGUVU!
GreatThinkers,
Plan C ni kurevise Uhalali wa Si Si Em kubaki madarakani
Thats all
Yes hili ndilo Jibu kuu na sahihi ili kupata permanent solution ya mambo mengi

Mkuu kama bado unaota au una nia ya kuwakejeli watu bora usijibu. Kuna watu wana siku ya tatu hawajauona umeme wewe unawakejeli watu kuwa tutapata umeme wa uhakika

Wacha hasira za watu zipoe